
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️
@zoetjesheeftX • 48,805 subscribers
professional chef-kok, I'm only responsible for what i say not for what you understand. * The right one will never let you go ° ᡣ𐭩 . ° .
Shorts
Videos
2:16
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Hawa ndio baadhi ya Wanawake wa kiafrika kazi kujidhalilisha 💔
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️504,277 просмотров • 12 дней назад
7:18
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
4:46
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
2:57
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:47
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

MWANAUME (35) ADAIWA KUMNYONGA NA KUMPIGA MKEWE (32) ARUSHA, ACHOMA MOTO VYETI NA NGUO ZAKE Mwanaume anayefahamika kwa jina la Asumwisye Mwajeka (35) anadaiwa kumyonga na kumpiga mkewe, Juliana Shirima (32), sehemu mbalimbali za mwili wake katika tukio lililotokea mchana wa Oktoba 11, 2026, katika mtaa wa Elwanyi, kata ya Terati jijini Arusha. Akizungumza na Kusaga TV, Juliana amesema mumewe alimpigia simu na kumuuliza alipo. Baada ya kumweleza kuwa alikuwa ameenda saluni, Asumwisye alimwambia kuwa angemfuata. Juliana amesema mumewe alifika akiwa na rafiki yake, akampakia kwenye gari na kwenda naye nyumbani. Walipofika, Asumwisye alimwagiza rafiki yake abaki ndani ya gari huku injini ikiwa imewashwa, kabla ya kuingia ndani na kuanza kumpiga na kumnyonga. Juliana amedai kuwa kabla ya tukio hilo, mumewe alifika nyumbani na kuchoma moto nguo zake, pochi yake pamoja na nyaraka mbalimbali, zikiwemo vyeti vya kuzaliwa vya watoto wao na vyeti vyake vya kitaaluma. Pia amedai kuwa alikata miunganisho ya kamera za CCTV zilizokuwa nyumbani kabla ya tukio hilo. Aidha, Juliana amesema baada ya kumshambulia, mumewe alichukua simu yake na kuondoka nayo, hali iliyomfanya kukosa mawasiliano na ndugu zake. Baada ya tukio hilo, Juliana amesema aliripoti katika kituo cha polisi na kuchukua fomu ya PF3 kwa ajili ya hatua zaidi. Kwa sasa amekwenda hospitalini kwa ajili ya matibabu kutokana na maumivu na majeraha aliyoyapata. Kwa upande wake, mama mzazi wa Juliana amesema waliwahi kumwonya binti yao aachane na mwanaume huyo kutokana na hofu ya usalama wake. Hata hivyo, Juliana amesema aliendelea kuvumilia hali hiyo kwa sababu ya watoto wao wawili. Asumwisye Mwajeka ni mfanyabiashara wa mazao ambaye mara nyingi husafiri kwenda Iringa kwa shughuli zake za kibiashara. Kusaga TV ilijaribu kuwasiliana kwa njia ya simu na Asumwisye Mwajeka ili kupata maelezo yake kuhusu madai hayo na kufahamu sababu za tukio hilo, lakini juhudi hizo hazikufanikiwa baada ya simu yake kutopatikana hewani.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️34,433 просмотров • 7 дней назад