#mamayukokazini

Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ukipita katika barabara za lami zilizojengwa kisasa zaidi. Unateleleza tu. Hakika, Tanzania ya sasa inapendeza na kung’ara. Watanzania tumeridhika. Kidumu chama cha mapinduzi. #MamaYukoKazini #MitanoTena #RoyalTour 👍
Martin Maranja Masese41,725 次观看 • 2 年前
没有更多内容可加载


