#scoan

NIGERIA: BBC YAIBUA MADAI YA UKATILI WA KINGONO DHIDI YA MAREHEMU NABII TB. JOSHUA Kwa mujibu wa Uchunguzi ulioripotiwa na BBC, imedaiwa kuwa Kiongozi huyo wa Kanisa la Sinagogi la Mataifa Yote (#SCOAN) aliwanyanyasa Kingono na Kimwili baadhi ya Waumini wake ikiwemo Kuwapiga na Kuwafunga na Minyororo Zaidi ya Watumishi na Waumini 25 wa Kiongozi huyo waliohojiwa na #BBC kutoka Mataifa ya Uingereza, Nigeria, Marekani, Afrika Kusini, Ghana, Namibia na Ujerumani wamedai walianza kufanyiwa vitendo hivyo wakiwa na umri kati ya Miaka 17 na 25 na wengine kulazimika kutoa Ujauzito zaidi ya mara 5 Kabla ya Kifo chake Mwaka 2021, Marehemu #TBJoshua alikuwa akitajwa miongoni mwa Wahubiri wenye ushawishi mkubwa Duniani huku akijizolea wafuasi wengi kupitia Vipindi vya Runinga vya Emmanuel TV Soma #JamiiForums #Accountability #SocialJustice #HumanRights #JFMatukio #JFSC
Jamii Forums148,605 просмотров • 2 лет назад

This Is Your Pass To Healing, Good Health, and Breakthrough #TBJoshua #EmmanuelTV #SCOAN
TB Joshua25,667 просмотров • 3 лет назад

"STOP putting me in the position of God... All the glory belongs to Jesus Christ!" - Prophet T.B. Joshua ⚠️ #TBJoshua #TBJoshuaMinistries #SCOAN #EmmanuelTV #EvelynJoshua #SCOANEvangelists #trending #trendingreels #love #viral #inspiration #motivation #humility
TB Joshua10,269 просмотров • 3 лет назад
Больше нет контента для загрузки