#tec

DAR: Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (#TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, akichangia katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC) Septemba 15, 2026. Zaidi bofya #JamiiForums #Demokrasia #InternationalDayOfDemocracy
Jamii Forums21,286 views • 5 days ago
0:35
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

TEC: BUNGE LILIWAKATAA WANANCHI, MTU PEKEE ALIYEBAKI KUWAOKOA NI RAIS Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (#TEC), Padri Charles Kitima amesema Rais akifuta Mkataba wa Bandari hata kama ni kwa hasara fulani atarejesha imani kubwa ya Wananchi kwa Serikali yao, kwani Bunge liliwakataa Wananchi kuhusu mkataba huo ndio maana Wananchi wakaamua kwenda kwa Rais wakiwa na mkataba Soma #JamiiForums #Governance #FreeSpeech #DPWorldSaga #TamkolaTEC
Jamii Forums62,899 views • 3 years ago
No more content to load



