#tonetone

"Wafuasi wangu kwenye social media, X (twitter), Instagram, Facebook, Tiktok, mamilioni ya Watanzania na marafiki zangu wengine wote naomba tushiriki katika hili jambo kubwa na jema kabisa la #Tonetone, tutengeneze mvua itakayotuwezesha kukomboa nchi yetu." Mhe. Lissu, Mwenyekiti Chadema Taifa. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hilda Newton19,381 次观看 • 1 个月前

KATORO – GEITA. Viwanja vya SATELİTE. CHADEMA tumekusanya #ToneTone kiasi cha TZS 2,071,000. MSAJILI USITUTISHE. Huwezi kamwe kutupangia namna gani tushughulike na MaCCM. RUZUKU ya kiwaki HATUTAKI. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
Martin Maranja Masese26,198 次观看 • 3 个月前

Hili ni #ToneTone la Kutoka kitongoji Kashesha mpakani mwa Tanzania na Zambia wilayani Kalambo. Wananchi wapo busy na #ToneTone mpaka tufikie lengo. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hilda Newton11,885 次观看 • 1 个月前

Viwanja vya RELINI, ARUSHA MJINI. CHADEMA tumekusanya kiasi cha TZS 2,815,000. Hadi sasa ARUSHA imevunja rekodi ya #ToneTone tangu kuanza kwa oparesheni #KatibaMpya #FreeTunduLissu. MSAJILI USITUTISHE. Huwezi kamwe kutupangia namna gani tushughulike na MaCCM. Wananchi ndiyo wataendesha CHADEMA kwa fedha zao. Angusha TONE lako kupitia 0744 44 69 69; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
Martin Maranja Masese20,245 次观看 • 3 个月前

Viwanja vya Nyankumbu, Geita Mjini vimeongea! Zaidi ya TZS 2,559,000 zimepatikana kupitia #ToneTone. MaCCM hayataki kuamini kwamba chama cha siasa ambacho ni mali ya umma Tanzania ni CHADEMA. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
Martin Maranja Masese20,368 次观看 • 3 个月前

MOSHI - SOKO LA MANYEMA, CHADEMA tumekusanya #ToneTone kiasi cha Tsh. 1,095,000/-….MSAJILI USITUTISHE.. huwezi kamwe kutupangia safu ya viongozi wa chama chetu.. RUZUKU ya kiwaki HATUTAKI. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. People’s Power. 👊🏾
Martin Maranja Masese36,655 次观看 • 1 年前
