#tutaelewanatu
3:17
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Asante sana kaka Boniface Mwabukusi Thank you for the clarity Leo kuna wanaharakati na wanachama wa Chadema wengi sana wanaishi nje ya nchi na tuna mchango mkubwa katika kurudisha Taifa kuwa wamoja LAKINI Uwajibikaji lazima! No Justice No Peace! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai60,928 views • 1 month ago

New song dropped by Vinepa 🔥🔥 Wapelekee motooo 🔥🔥 Haha! #TutaelewanaTu mbona?
Maria Sarungi Tsehai19,049 views • 10 days ago

Hadi Zanzibar pamechangamka!🔥 Kwa mujibu wa mkazi huyu jana watanganyika waliandamana huko Stone town wakipinga kubaguliwa na wazanzibari Tanganyika AMKA 🔥👊🏽 Muda ndo huu kuwekana sawa tupate #KatibaMpya bora kwa pande zote #77Tunatoka wote hakuna namna! Mbona #TutaelewanaTu ?
Maria Sarungi Tsehai43,720 views • 1 month ago

Kwanini amteke Msaidizi wa Lissu? Nini kimepelekea watake kumuua? Kuna siri gani kati ya kesi ya mchongo ya lissu na huyu msaidizi? Ila Mafwele umetumika vibaya sana halafu huna hata faida unayopata kwa sasa zaidi ya Laana ya Damu za wote uliowateka na uliowaua #TUTAELEWANATU!
Mbunge Wa Taifa48,242 views • 3 months ago