#tutaelewanatu

Hadi Zanzibar pamechangamka!🔥 Kwa mujibu wa mkazi huyu jana watanganyika waliandamana huko Stone town wakipinga kubaguliwa na wazanzibari Tanganyika AMKA 🔥👊🏽 Muda ndo huu kuwekana sawa tupate #KatibaMpya bora kwa pande zote #77Tunatoka wote hakuna namna! Mbona #TutaelewanaTu ?
Maria Sarungi Tsehai43,427 просмотров • 13 дней назад

Kwanini amteke Msaidizi wa Lissu? Nini kimepelekea watake kumuua? Kuna siri gani kati ya kesi ya mchongo ya lissu na huyu msaidizi? Ila Mafwele umetumika vibaya sana halafu huna hata faida unayopata kwa sasa zaidi ya Laana ya Damu za wote uliowateka na uliowaua #TUTAELEWANATU!
Mbunge Wa Taifa48,173 просмотров • 1 месяц назад

Kikwete si ndio Jiko sasa la mapishi ya Mauaji na Utekaji #TutaelewanaTu
Mbunge Wa Taifa26,173 просмотров • 1 месяц назад

Trump kashaipiga ban serikali haramu kusogeza pua Marekani😂😂#TutaelewanaTu
Mbunge Wa Taifa27,094 просмотров • 1 месяц назад

WAZEE WAMETEST MITAMBO LEO ZIMEBAKI SIKU 13 TU! NCHI ITASIMAMA HAKI LAZIMA IPATIKANE #TUTAELEWANATU
Mbunge Wa Taifa12,608 просмотров • 19 дней назад

🤦🏽♀️🤦🏽♀️ #Tanzania civil servants ↔️ English Kwa nini lakini? 😭😭 Alafu aibu SANA mtu mzima kuzuga kitoto: “I was not responsible for bringing the documents” Then “I was not feeling well in the morning” Seriously? ‼️ Eniwei imeenda hiyo ☹️ #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai330,083 просмотров • 3 лет назад

AMEJIANDAA NA MATOKEO YA UHUSIANO NA URUSI, AU AMEKURUPUKA TU? #TutaelewanaTu
Mbunge Wa Taifa18,987 просмотров • 1 месяц назад