#tutaelewanatu
3:17
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Hadi Zanzibar pamechangamka!🔥 Kwa mujibu wa mkazi huyu jana watanganyika waliandamana huko Stone town wakipinga kubaguliwa na wazanzibari Tanganyika AMKA 🔥👊🏽 Muda ndo huu kuwekana sawa tupate #KatibaMpya bora kwa pande zote #77Tunatoka wote hakuna namna! Mbona #TutaelewanaTu ?
Maria Sarungi Tsehai43,720 次观看 • 1 个月前

Kwanini amteke Msaidizi wa Lissu? Nini kimepelekea watake kumuua? Kuna siri gani kati ya kesi ya mchongo ya lissu na huyu msaidizi? Ila Mafwele umetumika vibaya sana halafu huna hata faida unayopata kwa sasa zaidi ya Laana ya Damu za wote uliowateka na uliowaua #TUTAELEWANATU!
Mbunge Wa Taifa48,242 次观看 • 3 个月前