#unyamamwingi

SIMBA UNYAMA MWINGI: Msikie Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akisimulia mkasa wa usajili wa Fabrice Ngoma. #UnyamaMwingi ni Buza Kanisani ambako unafanyika uzinduzi wa hamasa ya #SimbaWeek. Kilele chenyewe ni #SimbaDay hapo Agosti 6, 2023. Tuko LIVE #AzamSports1HD #SimbaSC #SimbaWeek #SimbaDay
Azam TV17,451 Aufrufe • vor 3 Jahren
Keine weiteren Inhalte verfügbar