正在加载视频...
视频加载失败
89,790 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Rahim Muro3 年前
😅😅🤝🤝

Mahangejo3 年前
Unakuta Baba yake anataka awe Mchungaji hapo ndo tunafeli

𝐉𝐄𝐀𝐍𝐒 𝐇𝐎𝐔𝐒𝐄 3 年前
Na kuna demu aliachiwa mtoto na akaolewa na mtoto Akaachana na mtoto na Akabaki anamlea mtoto😃🎶

Offical Mpole🧸3 年前
Hakika utakufa😭 lakin ngoma zako zitaishi✊️👐

#NIPENI_MAUA_YANGU💐3 年前
@OfficalJongo Usisemeeeee ivoooooooo

The BELIEVER3 年前
Huyu ukiwezekana apewe mpaka misonobali 😂

Nelius Ruharara3 年前
😀😀😀hiyo inaitwa Multiple intelligent,ila masikini akianza kukaririshana mambo ya mzungu wa Kwanza,kugundua mbege alikuwa nani atasahau kipaji chake.Hakiwezi endelezwa.

street 🇧🇷3 年前
wajob ana kuongelea hku

Twende na Lissu 20253 年前
Dogo anajua.. Anaflow bila kuacha beat Nyuma Anaimba ndani ya key.. Vocal imetulia Sio kali haiumizi.. Hizo pozi za mkono mmoja ikulu tuu 😂😂😂🙌

jerry3 年前
Kafloo kama ww yaanii 😂😂😅

