
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
@Roma_Mkatoliki • 1,350,113 subscribers
Rapper/Songwriter/Activist🎤
Shorts
Videos

Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters So 1Liter = 0.26 Gallons. Kama Gallons 6🇺🇸 =22.7 Liters = 30$=Tsh.77,500/= Then Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters =5$ = Tsh. 12,900/= Gallon 0.26 = 1.3$ = 1Liter = Tsh. 3,360/= Hence 🇹🇿 Wese lita 1 = 3800 🇺🇸 Wese Lita 1 = 3,360 HII DOLA 800 Imetoka wapi?🤔 800$ Lita 1?😌😳 Ujue 800$ = Milioni 2 Na Elfu 70
#NIPENI_MAUA_YANGU💐103,206 次观看 • 1 个月前

Technically hii ni formula ya kutaka kuwasafisha wauaji kuwa hawakuwa na intention ya kuua!! So report iseme number kubwa ya maiti ilipigwa risasi za miguuni na mikononi tu…..ili wajustify kuwa wauaji walikuwa na intention ya kuwajeruhi tu waandamanaji na sio kuwaua!! Then maiti chache ndio waseme zilipigwa risasi za kifuani na tumboni!! Yani zile picha na video tulizoziona za zile maiti nyingi zilivyoharibika kichwai….Leo unasema ni maiti 12 tu ndio zina majeraha kichwani!! 12😳😳😳😳 Hell No!!
#NIPENI_MAUA_YANGU💐34,552 次观看 • 1 个月前

Nikivaa viatu vya ndugu wa wahanga hawa, Sioni kabisa kauli za kiongozi wa muhimili mkubwa nchini zikinipa tabasamu la matumaini, zikinipa faraja ya familia yangu, zikinitibu majeraha ya moyo wangu!! Naona ni majibu yanayoongeza hasira, chuki,na kunikatisha tamaa!!
#NIPENI_MAUA_YANGU💐142,990 次观看 • 1 年前