Loading video...
Video Failed to Load
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
9 Comments

Daktari Wa Manesi ๐๐1 year ago
Mwanasiasa anaweza kutoa ahadi ya kujenga reli kwa kiwango cha lami na wananchi wakakubali ๐

Maulid Kitenge1 year ago
Duh

Coat of arms.1 year ago
IMAGINE HUYU NI ASKOFU ๐๐

Jogoo La Shamba1 year ago
Sasa hii ndio Tanzania ninayoijua mimi , " kura namba 5 msisahau" hahaha

Coat of arms.1 year ago
HAKUNA MWANACCM ALIYE NA AKILI TIMAMU ๐

John kalage ๐น๐ฟ1 year ago
Wanaomsikiliza hata hawacheki๐๐

Coat of arms.1 year ago
MSHAMBULIAJI HIYO NDIYO CCM NINAYOIJUA SASA, NI WAONGO KULIKO SHETANI ๐๐

~BINGWAโก1 year ago
Huyu 1. Anaongea kwa niaba ya Rais? 2.Anagombea uRais? 3.Anagombea mwenyekiti wa mtaa? ๐๐

AL HelmsMan1 year ago
Hahaha ๐ kanikumbusha way back ya ProJ nitajenga mambomba ya maziwa Nchi nzima, Ndio Mzee ๐๐
Related Videos
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
nikowl
158,173 views โข 6 months ago
