正在加载视频...
视频加载失败
10 条评论

Hiyo ni ngumu mkuu kutokea.. Kwa sababu gari nyingi ikiwa kwenye gia ya reverse inapiga alarms so wakati unataka kusoma hizo message lazima itakukera na utashituka... Sijui lakini labda kama kuna gari ukiweka reverse gia inakuwa kimya

😂😂nmecheka sana. Ila huwezi acha gia kwenye reverse ule mlio(alert) ya reverse sio rahisi usiiisikie. Mi yamenikuta sana ya N (free) 😂😂

Huyo sio dereva kaka 😃

Unataka kusemaa nn apa ome boii, maana umeiweka kitaalamu sana

"Pwaaaah" aiiiiiiii matak* na uso vishapumlianaa🙌😁😁

Eti unamkanyaga mwarabu 😁😁 ( mafuta)

Miaka 20 yote Chama changu

Kwani hiyo gari itakuwa haina reverse beep alarm theres no way bro hapo unatupanga labda 504 Peugeot ila kwa karne hii yenye taa za road gari zote zina alarm reverse

Hudhuria vikao ,mwanaume hatumii tissue kufuta mdomo . Unatukoseaaa ✍🏿📌

Unataka kutuaminisha nini mkato
相关视频
Sensitive content
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨
Mitch Ragnarson ♂️🇲🇫
41,757 次观看 • 8 个月前
Sensitive content
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🎥
سهم
308,714 次观看 • 5 个月前

