Video yรผkleniyor...
Video Yรผklenemedi
๐๐๐๐๐๐๐๐
95,852 gรถrรผntรผleme โข 1 yฤฑl รถnce โขvia X (Twitter)
11 Yorum

Kama siasa zenyewe ndiyo hivi, Watanzania tusahau viongozi kuwajibika kwa Wananchi. Viongozi watajua dola imewaweka madarakani, hivyo watawajibika kwa dola. Adui wa nchi hii ni "DOLA"

#NoReformsNoElection

- All I Knew

Bado tuseme Tz ya amani??๐ญ

Kama hawataki mfumo wa vyama vingi wafute..turudi mono party..kuliko huu uhanithi๐ฎ

@ze_mandevu Akuna faham hii ๐

Aliwaambia jeshi lijiandae kwa uchaguz magari mapya silaha mpya taifa la kwetu wote lakini kwa sababu wengne wanaona wanaonewa wanaweza kuwaalika waasi m23 ili tu taifa lianze na moja hili sio sawa kabisa dola imekubali kuchezewa

Na kadiri wanavyozidi kuwakamata kamat wapunzani na sisi wananchi ndio tunazid kuwapend wapinzani na kuwachukia masisiemuu

Ziwa lile Ni reform, Chuchu force na Mabomu Na force sio Reform, ni Virungu na Mabomu Virungu kampenini virungu kwenye fomu Virungu hadi ziarani,kwa wapiga kura wa muhimu Yaan virungu mpaka unahisi ni uchungu Hadi unashanga sisi ni hawa si ndugu Virungu kumbe ni nguvu ya njugu

Bahati Mbaya leo ! Story itakuwa Zaylisa na Manara....

We ni bora wa muda wote Baada ya Professor Jay
Benzer Videolar
Sensitive content
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
giorgia
14,042 gรถrรผntรผleme โข 1 yฤฑl รถnce
Sensitive content
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
lael
22,535 gรถrรผntรผleme โข 2 ay รถnce
Sensitive content
๐๐๐๐๐๐๐๐๐
JAVIER CORREA ME SALVร LA VIDA๐ชฝ
40,182 gรถrรผntรผleme โข 2 yฤฑl รถnce

