Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️

40,658 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

32 Yorum

Francis profil fotoğrafı
Francis1 yıl önce

Hiyo cheap si ndo wataitoa?. 🤔🤔 Hii hakutakiwa kuisema,unless ana grand plan kubwa zaidi. Akina Butiku walitakiwa wakemee haya sasa. Utekaji,Utesaji,Mauaji,Uchafunzi,hivi ndivyo vya kupiga vita.

Muinjah profil fotoğrafı
Muinjah1 yıl önce

hakuna alie salama tena!!PolePole sjamskia anatukana mtu au kutishia kuua zaidi ya kuzungumzia HAKI,WIZI,DHULMA NA UTAWALA BORA!!ANGUKO LA WATESI LIMEFIKA🥲

TheAngryBlackGuy profil fotoğrafı
TheAngryBlackGuy1 yıl önce

Hili litakuwa funzo kwa binadamu wote ambao wanajiita ni wana CCM kwamba sio wapinzani tu lakini hata wao hawapo salama na Chama Chao kwa sasa hakijali mitazamo tofauti hata ndani ya Chama. R.I.P CCM! 🙏🏾

BarakaWambura profil fotoğrafı
BarakaWambura1 yıl önce

Atekwe kwa lipi,ilihali alishapoteza mvuto kwenye jamii na hata hakuna Mtanzania ambae alikua anatime nae

Depedro Dee (Ed.S.) profil fotoğrafı
Depedro Dee (Ed.S.)1 yıl önce

Duuh 🥺

Pdizaina profil fotoğrafı
Pdizaina1 yıl önce

Dah asingeweka bayana kuwa ana microchip maana wataitoa sasa.

KingMushua profil fotoğrafı
KingMushua1 yıl önce

Kwanin anataja chip, it sounds dramatic and dumb

cde henry john profil fotoğrafı
cde henry john1 yıl önce

Wanachukulia mambo kiurahisi Sana na hizi drama tushazizoea

missth16🇹🇿 profil fotoğrafı
missth16🇹🇿1 yıl önce

Oh God! 😭

Zumbe Mtana profil fotoğrafı
Zumbe Mtana1 yıl önce

Sasa kwanini ame "reveal" hilo la chip?

Beka boy profil fotoğrafı
Beka boy1 yıl önce

Sasa Hy code kawapa ao watu si wameshajua wataitoa

amdully profil fotoğrafı
amdully1 yıl önce

holly cow! Nilijuaga yupo nje ya nchi

mjusi profil fotoğrafı
mjusi1 yıl önce

Hapo sasa hivyo vituo ndo vitajulikana leo na watu wote watajulikana wako wap waliopotea

Unaweza profil fotoğrafı
Unaweza1 yıl önce

Makosa yake mwenyewe, alijilipua afu akabaki hapa hapa

cde henry john profil fotoğrafı
cde henry john1 yıl önce

Hovyo kabisa, hopeless, kalime huko acha upuuzi.

Mangi Chuwa profil fotoğrafı
Mangi Chuwa1 yıl önce

Duuuh

Mwanzo Mwisho profil fotoğrafı
Mwanzo Mwisho1 yıl önce

Muongoooo

Mussa Matelefone profil fotoğrafı
Mussa Matelefone1 yıl önce

Hao ndiyo wale wale. Muongo huyo.

Kasingo Fedrick profil fotoğrafı
Kasingo Fedrick1 yıl önce

Wee acha mihemuko mnatafuta umalufu wakijiga baadae muaze kuwa omba omba kama watumwa acha ushamba 🤔🤔🤔

Prisca Mtepeka profil fotoğrafı
Prisca Mtepeka1 yıl önce

Atekwe kwa lipi gys😏 embu acheni kudanganyana na ndio maana lawama.kwa serikali zinakuwa nyingi Nchi zilizo endelea wanatumia mitandao kutengeneza fursa za pesa na kukuza biashara zao lkn TZ inatumiaa kuchafua serikali na kuzua taharuki inasikitisha sana very poor🙂‍↔️

Ramzan Kadyrov profil fotoğrafı
Ramzan Kadyrov1 yıl önce

Nimeipenda hiyo tena wamuue huko huko asirudi huyo

Hartz MD profil fotoğrafı
Hartz MD1 yıl önce

MUNGU amlinde Polepole

Mwanzo Mwisho profil fotoğrafı
Mwanzo Mwisho1 yıl önce

Wajinga peke yao ndio wataamini

Kisangashukuru@yahoo.com profil fotoğrafı
[email protected]1 yıl önce

Sio rahisi

Scorpion profil fotoğrafı
Scorpion1 yıl önce

Mbona yupo na gwajima wanadiscuss propaganda zao,ili wapige pesa na kina sarungi. Mnavumisha ametekwa, uzushii huo bana.

Idriss🌍 profil fotoğrafı
Idriss🌍1 yıl önce

Jamaa ni MUONGO Polepole Hana Ndugu Zaidi ya Dada yake

scovian paco💎 profil fotoğrafı
scovian paco💎1 yıl önce

Angeendelea na maneno yake ila kuanza kutumia masoja hapana

Athuman Saidy profil fotoğrafı
Athuman Saidy1 yıl önce

Dah

Thunder ⚡🇹🇿🇧🇫 profil fotoğrafı
Thunder ⚡🇹🇿🇧🇫1 yıl önce

Hii code ya chip hukutakiwa kusema mkuu

Nyamichu Patrick profil fotoğrafı
Nyamichu Patrick1 yıl önce

Huo upotoshaji wakuu nguvu ya pesa inafanya kazi sana

Rakel ❤️ profil fotoğrafı
Rakel ❤️1 yıl önce

Kristo 😭

Jet lee profil fotoğrafı
Jet lee1 yıl önce

Si alisema ametelekezwa Cuba???

Benzer Videolar