ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
๐๐ฝโโ๏ธ๐๐ฝโโ๏ธ๐๐ฝโโ๏ธ
40,658 ๆฌก่ง็ โข 1 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
32 ๆก่ฏ่ฎบ

Hiyo cheap si ndo wataitoa?. ๐ค๐ค Hii hakutakiwa kuisema,unless ana grand plan kubwa zaidi. Akina Butiku walitakiwa wakemee haya sasa. Utekaji,Utesaji,Mauaji,Uchafunzi,hivi ndivyo vya kupiga vita.

hakuna alie salama tena!!PolePole sjamskia anatukana mtu au kutishia kuua zaidi ya kuzungumzia HAKI,WIZI,DHULMA NA UTAWALA BORA!!ANGUKO LA WATESI LIMEFIKA๐ฅฒ

Hili litakuwa funzo kwa binadamu wote ambao wanajiita ni wana CCM kwamba sio wapinzani tu lakini hata wao hawapo salama na Chama Chao kwa sasa hakijali mitazamo tofauti hata ndani ya Chama. R.I.P CCM! ๐๐พ

Atekwe kwa lipi,ilihali alishapoteza mvuto kwenye jamii na hata hakuna Mtanzania ambae alikua anatime nae

Duuh ๐ฅบ

Dah asingeweka bayana kuwa ana microchip maana wataitoa sasa.

Kwanin anataja chip, it sounds dramatic and dumb

Wanachukulia mambo kiurahisi Sana na hizi drama tushazizoea

Oh God! ๐ญ

Sasa kwanini ame "reveal" hilo la chip?

Sasa Hy code kawapa ao watu si wameshajua wataitoa

holly cow! Nilijuaga yupo nje ya nchi

Hapo sasa hivyo vituo ndo vitajulikana leo na watu wote watajulikana wako wap waliopotea

Makosa yake mwenyewe, alijilipua afu akabaki hapa hapa

Hovyo kabisa, hopeless, kalime huko acha upuuzi.

Duuuh

Muongoooo

Hao ndiyo wale wale. Muongo huyo.

Wee acha mihemuko mnatafuta umalufu wakijiga baadae muaze kuwa omba omba kama watumwa acha ushamba ๐ค๐ค๐ค

Atekwe kwa lipi gys๐ embu acheni kudanganyana na ndio maana lawama.kwa serikali zinakuwa nyingi Nchi zilizo endelea wanatumia mitandao kutengeneza fursa za pesa na kukuza biashara zao lkn TZ inatumiaa kuchafua serikali na kuzua taharuki inasikitisha sana very poor๐โโ๏ธ

Nimeipenda hiyo tena wamuue huko huko asirudi huyo

MUNGU amlinde Polepole

Wajinga peke yao ndio wataamini

Sio rahisi

Mbona yupo na gwajima wanadiscuss propaganda zao,ili wapige pesa na kina sarungi. Mnavumisha ametekwa, uzushii huo bana.

Jamaa ni MUONGO Polepole Hana Ndugu Zaidi ya Dada yake

Angeendelea na maneno yake ila kuanza kutumia masoja hapana

Dah

Hii code ya chip hukutakiwa kusema mkuu

Huo upotoshaji wakuu nguvu ya pesa inafanya kazi sana

Kristo ๐ญ

Si alisema ametelekezwa Cuba???
็ธๅ ณ่ง้ข
Sensitive content
Bruh๐๐ฝโโ๏ธ๐๐ฝโโ๏ธ๐๐ฝโโ๏ธ naaa you canโt even make this shii up.
Better Men
42,174 ๆฌก่ง็ โข 8 ไธชๆๅ
