Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
A few moment later 😂😂
85,747 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

kulojrvor 1 Jahr
Hii species ina kata sana fuse. UK nadhan imepigwa stop baada ya fatal attack

Ahmad Ahmadvor 1 Jahr
Pit bull huyo hana masihara moja kato ya mbwa hatari na vichaa Dunian ni hawo hawana cha kwamba wew ndo una mrisha au laa yeye akipagawa anakutafuna hata wewe

𝘽 𝘼 𝘽 𝘼 𝙒 𝘼 𝙍 𝘿 𝘼 ®🇰🇪🇹🇿💔vor 1 Jahr
Mamake huyu jamaa hawa mbwa ana kodi mbwa anaekujua hawezi kukufanyia hiv hapo alichokosea kwa mbwa ni kumtoa kwenye msosi😅😅😅😅

Rock Paper Sizzlevor 1 Jahr
💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Gabbar singhvor 1 Jahr
sancho alikiwasha🤣🤣

Sonko Kyaravor 1 Jahr
Bulldog hatak mazoea ya kiboya😂

Fineboy_🦅vor 1 Jahr
😂😂😂

Mr.Innovor 1 Jahr
Hiyo specie ni hatar hata kama anakujua Kuna muda mwamba anapoteza kumbukumbu 😂

Sister G❤️vor 1 Jahr
A few moment later 🤣🤣🤣🤣

HunchoGvor 1 Jahr
qmmnina 😅

Sekenke One 🌻vor 1 Jahr
😁😁😁sanjo
