Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
😁😁😁😁😁 ACHANA NA MIMI
91,954 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 32

Chadema ingekuwa na uongozi uliopo sasa miaka 15 iliyopita ccm kingekuwa ni chama cha upinzani hawa wazee wamefanya biashara ya kuinufaisha ccm miaka mingi sana kuna kila sababu nchi ikikombolewa wachapwe viboko hadhalani tena uwanja wa mkapa kabisa😬🫵.

All in all calmness ya mtangazaji ni ya kipekee anampa mda aendelee kubolonga zaidi alaf anakuja na swali bora zaidi

Kwa namna aliyo respond ni wazi kuwa huyo jamaa anahusika au anafahamu namna wale wabunge 19 walivyopelekwa bungeni eti alikua hajui tena huyu atakuwa alisema weka na jina la shemeji yako bwana Mbowe

Calmness ya mtangazaji hatari saana

Mzeeh kabananishwa 😁

Jamaa amekuwa MCHUNGU kama ameombwa kutoa nyeti zake

Kichwa kilichemka..

Leo ndio nimejua kwann? P1 na kwamba JPM alipora Uchaguzi ila aliruhusu yule Mmoja wa kuchaguliwa na Wananchi maana wale Covid 19 ulikua UTAPELI Jiwe Hakua Fala Alichekecha akaona P1 na kuchakachua Bora awepo anaekinzana Upinzani unaweza kuleta Maana hata hivo pia LISSU Vs CCM

Chopa yao iko wapi hawa Jamaa 😀

Alama mtu mnafki ni 3 1. Akizungumza usema uongo 2.aki ahidi atekelezi 3.akiaminiwa hufanya hiana.

Milio😆😆😆

Mwamba amepata moto vbaya mno, angeendelea kumuuliza hapa jamaa angerusha ngumi

Chama kilikuwaga chini ya matapeli mzee 😂😂😂

Hawa baada ya uchaguzi ni mali ya CCM😅

Uhuru wa maoni upo wapi 😂

"Unaliweka sawa namna gani?"ila siasa 😁😁😁

Kwa hiyo unataka uvumbue nini? 🤣

Mambo ya uchaguzi hana data

Kawa mkali.

Mkubwa mfano wa kufumaniwa kaushikilia mwa-mwi...😄

waligusa penyewe😂😂😂

Mzee aliwakia kwenye gia dadek...

Anavotoa macho sasaa 😂😂, mtu unaulizwa vizuri unaleta pyala pyala za kufunaniwaa daaah 🤔🤣🤣🫵 nchii ngumuu iiiiii

"unataka ugundue nini!?" 😄

Chales anakuwaga na maswali yake kama sio mvumilivu unapanik

Uwezo wake wa kufikili unalingana na bata

😂😂😂

🤣🤣🤣

🤣🤣

🤣🤣🤣🤣 tuachane

TAKATAKA fumanizi na mihuri mbona uhusiano ni mdogo🤡

hapo kashiba kiinua mgongo cha mkewe
