Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ACHANA NA MIMI

91,954 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

32 Kommentare

Profilbild von Amanitz
Amanitzvor 1 Jahr

Chadema ingekuwa na uongozi uliopo sasa miaka 15 iliyopita ccm kingekuwa ni chama cha upinzani hawa wazee wamefanya biashara ya kuinufaisha ccm miaka mingi sana kuna kila sababu nchi ikikombolewa wachapwe viboko hadhalani tena uwanja wa mkapa kabisa๐Ÿ˜ฌ๐Ÿซต.

Profilbild von Eli Cohen
Eli Cohenvor 1 Jahr

All in all calmness ya mtangazaji ni ya kipekee anampa mda aendelee kubolonga zaidi alaf anakuja na swali bora zaidi

Profilbild von agochuoku
agochuokuvor 1 Jahr

Kwa namna aliyo respond ni wazi kuwa huyo jamaa anahusika au anafahamu namna wale wabunge 19 walivyopelekwa bungeni eti alikua hajui tena huyu atakuwa alisema weka na jina la shemeji yako bwana Mbowe

Profilbild von Ephraim
Ephraimvor 1 Jahr

Calmness ya mtangazaji hatari saana

Profilbild von Fumbo Khan
Fumbo Khanvor 1 Jahr

Mzeeh kabananishwa ๐Ÿ˜

Profilbild von Golden boy๐Ÿ› ๏ธ Dc wa NAGUSI๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’ฐ
Golden boy๐Ÿ› ๏ธ Dc wa NAGUSI๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’ฐvor 1 Jahr

Jamaa amekuwa MCHUNGU kama ameombwa kutoa nyeti zake

Profilbild von Kambi ya waebrania
Kambi ya waebraniavor 1 Jahr

Kichwa kilichemka..

Profilbild von ยฎ๏ธ
ยฎ๏ธvor 1 Jahr

Leo ndio nimejua kwann? P1 na kwamba JPM alipora Uchaguzi ila aliruhusu yule Mmoja wa kuchaguliwa na Wananchi maana wale Covid 19 ulikua UTAPELI Jiwe Hakua Fala Alichekecha akaona P1 na kuchakachua Bora awepo anaekinzana Upinzani unaweza kuleta Maana hata hivo pia LISSU Vs CCM

Profilbild von Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Švor 1 Jahr

Chopa yao iko wapi hawa Jamaa ๐Ÿ˜€

Profilbild von spodosky
spodoskyvor 1 Jahr

Alama mtu mnafki ni 3 1. Akizungumza usema uongo 2.aki ahidi atekelezi 3.akiaminiwa hufanya hiana.

Profilbild von WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSADvor 1 Jahr

Milio๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Profilbild von St. Peters
St. Petersvor 1 Jahr

Mwamba amepata moto vbaya mno, angeendelea kumuuliza hapa jamaa angerusha ngumi

Profilbild von International Herb
International Herbvor 1 Jahr

Chama kilikuwaga chini ya matapeli mzee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von PaYRoLL๐ŸซŸ
PaYRoLL๐ŸซŸvor 1 Jahr

Hawa baada ya uchaguzi ni mali ya CCM๐Ÿ˜…

Profilbild von ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ ๐•ธ๐–Ÿ๐–Š๐–“๐–๐–Ž
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ ๐•ธ๐–Ÿ๐–Š๐–“๐–๐–Žvor 1 Jahr

Uhuru wa maoni upo wapi ๐Ÿ˜‚

Profilbild von Myahudi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Myahudi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Jahr

"Unaliweka sawa namna gani?"ila siasa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Profilbild von Righteousness & Justice kisses
Righteousness & Justice kissesvor 1 Jahr

Kwa hiyo unataka uvumbue nini? ๐Ÿคฃ

Profilbild von Othangana
Othanganavor 1 Jahr

Mambo ya uchaguzi hana data

Profilbild von NGONI SHOES STORE
NGONI SHOES STOREvor 1 Jahr

Kawa mkali.

Profilbild von N I N J A
N I N J Avor 1 Jahr

Mkubwa mfano wa kufumaniwa kaushikilia mwa-mwi...๐Ÿ˜„

Profilbild von MS MINAH๐ŸŒน
MS MINAH๐ŸŒนvor 1 Jahr

waligusa penyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von identical Twinsโค๏ธ
identical Twinsโค๏ธvor 1 Jahr

Mzee aliwakia kwenye gia dadek...

Profilbild von Samuel David
Samuel Davidvor 1 Jahr

Anavotoa macho sasaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, mtu unaulizwa vizuri unaleta pyala pyala za kufunaniwaa daaah ๐Ÿค”๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿซต nchii ngumuu iiiiii

Profilbild von Depedro Dee (Ed.S.)
Depedro Dee (Ed.S.)vor 1 Jahr

"unataka ugundue nini!?" ๐Ÿ˜„

Profilbild von iamelcapitano
iamelcapitanovor 1 Jahr

Chales anakuwaga na maswali yake kama sio mvumilivu unapanik

Profilbild von Maro Mwikwabe
Maro Mwikwabevor 1 Jahr

Uwezo wake wa kufikili unalingana na bata

Profilbild von EMMANUEL HAULE
EMMANUEL HAULEvor 1 Jahr

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von I'M LIVING BLESSED
I'M LIVING BLESSEDvor 1 Jahr

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Libra
Libravor 1 Jahr

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Lenatus Rwehumbiza
Lenatus Rwehumbizavor 1 Jahr

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ tuachane

Profilbild von Pop Manya
Pop Manyavor 1 Jahr

TAKATAKA fumanizi na mihuri mbona uhusiano ni mdogo๐Ÿคก

Profilbild von Damian ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Damian ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Jahr

hapo kashiba kiinua mgongo cha mkewe

ร„hnliche Videos