๐๐๐๐๐ ACHANA NA MIMI
@Roma_Mkatoliki135ไธ ไฝๅ ณๆณจ่
91,954 ๆฌก่ง็
32 ๆก่ฏ่ฎบ
่ฏ่ฎบๆฅ่ช X (Twitter) ไธ็ๅๅธ

@Amaniaman1980
Chadema ingekuwa na uongozi uliopo sasa miaka 15 iliyopita ccm kingekuwa ni chama cha upinzani hawa wazee wamefanya biashara ya kuinufaisha ccm miaka mingi sana kuna kila sababu nchi ikikombolewa wachapwe viboko hadhalani tena uwanja wa mkapa kabisa๐ฌ๐ซต.
44 ไธช่ต

@_kibaba_
All in all calmness ya mtangazaji ni ya kipekee anampa mda aendelee kubolonga zaidi alaf anakuja na swali bora zaidi
29 ไธช่ต

@massid_
Kwa namna aliyo respond ni wazi kuwa huyo jamaa anahusika au anafahamu namna wale wabunge 19 walivyopelekwa bungeni eti alikua hajui tena huyu atakuwa alisema weka na jina la shemeji yako bwana Mbowe
26 ไธช่ต

@msigwaephraim
Calmness ya mtangazaji hatari saana
12 ไธช่ต

@fumbokhanJr
Mzeeh kabananishwa ๐
10 ไธช่ต

@MichaelAdo47368
Jamaa amekuwa MCHUNGU kama ameombwa kutoa nyeti zake
10 ไธช่ต

@caxmir_swaty
Kichwa kilichemka..
10 ไธช่ต

@Oziko_Jo
Leo ndio nimejua kwann? P1 na kwamba JPM alipora Uchaguzi ila aliruhusu yule Mmoja wa kuchaguliwa na Wananchi maana wale Covid 19 ulikua UTAPELI Jiwe Hakua Fala Alichekecha akaona P1 na kuchakachua Bora awepo anaekinzana Upinzani unaweza kuleta Maana hata hivo pia LISSU Vs CCM
9 ไธช่ต

@McinikaWaLamar
Chopa yao iko wapi hawa Jamaa ๐
8 ไธช่ต

@ibrahimmsuya19
Alama mtu mnafki ni 3 1. Akizungumza usema uongo 2.aki ahidi atekelezi 3.akiaminiwa hufanya hiana.
8 ไธช่ต

@INFLUENCERjr
Milio๐๐๐
8 ไธช่ต

@_PeterPM
Mwamba amepata moto vbaya mno, angeendelea kumuuliza hapa jamaa angerusha ngumi
7 ไธช่ต

@DeusHerb
Chama kilikuwaga chini ya matapeli mzee ๐๐๐
6 ไธช่ต

@CoolestDudeOnX
Hawa baada ya uchaguzi ni mali ya CCM๐
5 ไธช่ต

@ZenjiboyZnz
Uhuru wa maoni upo wapi ๐
4 ไธช่ต

@MyahudiOG
"Unaliweka sawa namna gani?"ila siasa ๐๐๐
4 ไธช่ต

@Salamaenrich
Kwa hiyo unataka uvumbue nini? ๐คฃ
3 ไธช่ต

@SChinganga25062
Mambo ya uchaguzi hana data
3 ไธช่ต

@mtumba_OG
Kawa mkali.
3 ไธช่ต

@Ninja_Damour
Mkubwa mfano wa kufumaniwa kaushikilia mwa-mwi...๐
3 ไธช่ต












