Skip navigation
Ahsanteni sana Arusha.
0:00 / 1:40

Ahsanteni sana Arusha.

Samia Suluhu

@SuluhuSamia1.8M followers

Visit on X
399 likesDownloadOriginal post

29,531 views

Ahsanteni sana Arusha.

23 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • bwakila's profile picture

    @bwakilabwakilau

    Ni Bora mngemuacha akae na ugonjwa wake nyumbani mna roho mbaya sana pengine kuwahi kutokea kwenye uso wa Dunia hii najiuliza uliwezaje kuwa kiongozi na unaroho mbaya kiwango hiki💔💔😭😭

    5 likes

  • Eng Kevin's profile picture

    @Mafuvu62

    Hakuna upendo hapo watu wanalipwa

    4 likes

  • Tsuli Atetwe's profile picture

    @TsuliAtetwe

    ❤️❤️🇹🇿🇰🇪

    2 likes

  • 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿's profile picture

    @_zack255

    Tanzania Salama Na Dkt.Samia Suluhu Hassan.

    2 likes

  • Samalen Tips🤴🫆's profile picture

    @Samalentips

    Hongera sana mheshimiwa Rais , Tumefurahi kukupokea , Karibu sana Arusha 👏👏👏👏

    1 like

  • Trap Queen's profile picture

    @miss___yanga

    We proud of you Mama♥️

    1 like

  • Mana's profile picture

    @manase124

    Mama ni nguzo ya upendo kwa familia sasa kwa Nchi,, Tunakupenda, Tunakuombea mema,, Kazi na utu, tunasonga mbele @SuluhuSamia

    1 like

  • Mapunda Simba's profile picture

    @MapundaSimba

    Mama yetu ♥️

    1 like

  • Mzee Mpini's profile picture

    @Apollo__255

    Yechu

  • KIJANA's profile picture

    @kijanampole_

    Mama Kazini kazi na maendeleo

  • Maziku Andrew's profile picture

    @Maziku_Andrew1

    Kazi iendelee mama yetu wananchi wa Arusha tupo tayari kwa wageni na fursa za kibiashara

  • BARADHULI's profile picture

    @Baradhuli2

    Upendo wako umeleta tabasamu na matumaini mapya katika nyuso za Watanzania. Tunakushukuru na tunakupongeza sana.

  • Mucho's profile picture

    @chich00___

    Baraka za mwenyezi Mungu zifate nyayo zako zote Rais wetu.

  • macheda's profile picture

    @Macheda__

    Hongera sana mama kwa kazi nzuri unayoifanya hakika Watanzania tunajivunia sana uongozi wako.

  • cay c's profile picture

    @LunninzeC

    She's cowardly dictator

  • Robert Carlos Jr's profile picture

    @RobertCarols

    Much respect

  • Afrika Jana na Leo's profile picture

    @AFRIKA_JANA

    @lulurobert__ Good work 👏🏽

  • MIKEKA DAILY's profile picture

    @firstborn256

    Karibu sana Jemedari wetu Arusha Tunakupenda Sana

  • Hadithi za mswahili's profile picture

    @hadithimswahili

    Kiongozi mwenyewe sikio la kusikiliza na moyo wa kusaidia ♥️♥️🙏🏿🇹🇿

  • Joshua Mjukuu Wa Nilla's profile picture

    @Mjukuuwanilla

    Sio wote hao wamekula hela