Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Aibu utaona wewe!! 🙆♂️🙆♂️
65,313 просмотров • 2 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 20

Sio muda wote unatakiwa uwaze katiba mpya, kuna muda wa burudani Wakati mwingine ukiona kuna usivoweza kuvipata bora uendelee na maisha mengine tuu

Dada ake dullah makabila huyu, kwenye haya mambo ya shirki hawachekeshi

Vitu vlivyobakia ambavyo watz wanavishobokea. Ukiwaambia katiba mpya hawakuelewi.

Unaweza kudhania ni utani kumbe ndio masharti ya mganga wake 🤔

Sema hii jau sana

Anaogoshwaje na nguo sasa😒

anaogaje na kitenge sasa 🥵

Bongo machizi wengi

Ukute ndo masharti 😢

Skuiz Wasanii Wanaroga mchana wakijifanya wanafanya contents 😂🙌🏾

Anaroga kiana hapo 😅😅

Uswahilini iyooo

Anaoga na Bra na kitenge

Hadumu

Ndiye nani nyie huko Dar?

Mama mshirikina huyu

Mbna hajavua nguo apo anaoga au ananawa uso na kifua

😂😂

tangazo hilo

Mnajua content kumbe masharti ya mganga ndele
Похожие видео
Sensitive content
Aibu utaona wewe. Raha ya dela ujue kulishikilia waswaili wanasema.
macheda
180,419 просмотров • 1 месяц назад
