Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Ingekuwa wewe ungefanyaje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ

29,297 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

12 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Babalevo anauliza brand gani ya Tv, Haivunjiki kurahisi mara baada ya ktoto wake mdogo "Platnumz" Kuvunja Tv yake ya Million 9 kwa Mwiko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ Angalia ilivyokuwa... Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Nashangaa sana bado huna Ajira na hujajiunga na Ajira Pont Channel Wahi sasa! Bonyeza Kisha Sabusikraibu

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Alichoandika

Rock Paper Sizzle's profile picture
Rock Paper Sizzle2 years ago

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? ๐Ÿ’ชTough T's Here:

Momentoftruth's profile picture
Momentoftruth1 year ago

Huyu mtoto alikua anajua kabisa anachokifanya yani baada ya kunyanganywa vile vitu akapata hasira na yeye akaona ngoja niharibu starehe yao yani ni makusudi akijua kabisa anaharibu kitu muhimu sana, kwanini asiende kupiga makochi au mlango au meza. Anatakiwa afinywa kiaina

koyoyo's profile picture
koyoyo1 year ago

Shida ya kunyoa watoto panki hiii......

Cundecha's profile picture
Cundecha1 year ago

Kabla ya kuvunja kaliwaza kabisa yani

BANDAMA's profile picture
BANDAMA1 year ago

Mtoto wa kike ningemsamehe, Ila hiki kitoto cha kiume. Natandikaa

Believer's profile picture
Believer1 year ago

Ningeenda kupima DNA tu nijue moja.

Yusto Mtemi๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Yusto Mtemi๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 year ago

Anatudanganya tu hakuna milion tisa kwenye hiyo TV

Sabas Sebastian Del Piero's profile picture
Sabas Sebastian Del Piero1 year ago

Nanunua nyingine ili avenje tena ๐Ÿ˜‚

Bin Om's profile picture
Bin Om1 year ago

Hapo tutarajie ubarozi wa kampuni ya TV kwa Babalevo hvi karibuni

Related Videos