Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Aiseee tunakula vingi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wallah sitakula tena๐Ÿ’”

89,384 views โ€ข 3 years ago โ€ขvia X (Twitter)

10 Comments

Jesse ๏ฃฟ's profile picture
Jesse ๏ฃฟ3 years ago

Huyu mnaemuharibia biashara ni mama wa familia na anategemewa sasa sisi kama watoto tuliokulia maisha ya chini tuta endelea kula bila kujali post zenu ๐Ÿšฎ

Ms Bee๐ŸŒน's profile picture
Ms Bee๐ŸŒน3 years ago

@Jesse_pogbatz Iharibike tu kama hafanyi katika hali ya usafi!!

Bรฉrnardo Silva dรฉ Michaรฉl๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น's profile picture
Bรฉrnardo Silva dรฉ Michaรฉl๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น3 years ago

Mna halibu biashara zawatu!!! mamantilie bila uchafu chakula hakiwezikuwa kitamu*

Ms Bee๐ŸŒน's profile picture
Ms Bee๐ŸŒน3 years ago

Iharibike tuu!! Siku nyingne atajifunza namba nzur ya kushika chakula

Manji_jr๐Ÿ‘ด๐Ÿšฌ's profile picture
Manji_jr๐Ÿ‘ด๐Ÿšฌ3 years ago

Si bora huyu mama yuko sehem ya wazi na pia hizo ni tambi anafanya kuitafuta faida tu asijeweka tambi nyingiโ€ฆ.unajua kuku wa KFC wanaandaliwaje,mambo ni mengi kila sehem muhimu kabla ya kula sali tu Mungu atakusaidia๐Ÿšฌ๐Ÿ‘ด๐Ÿฟ

Yusuf Graphics's profile picture
Yusuf Graphics3 years ago

Ukipenda mchunguza bata hutamla ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰'s profile picture
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰3 years ago

Sasa kwanamna hiyo kipindu pindi kitakosekana kwelii ๐Ÿคจ

Jessie J๐ŸŒบ's profile picture
Jessie J๐ŸŒบ3 years ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„kubabeki hvi vyakula vya kununua dah

pelican's profile picture
pelican3 years ago

Kama watu wanalamba adi sperms za waume zao na wanaume wanalamba nyuchi za wake zao basi ujue tunaishi kwa kuaminiana tu nachoona tunajaribu kuharibu biashara za watu wengi wetu wamama wa sampuli hiyo wametulea tumekuwa tumejua ya walimwengu tunadhihaki..๐Ÿ™„๐Ÿ™„

Antidote's profile picture
Antidote3 years ago

Kwenye swala la usafi inabidi uassume vile unapakua chakula upo mbele za watu wanakuona, is it hygienic?

Related Videos