Loading video...
Video Failed to Load
Nimejipigia tena ๐๐๐๐
18,178 views โข 3 months ago โขvia X (Twitter)
19 Comments

DPP 'alikuwa hajui sheria hiyo' ? How ?

Unawapelekea moto kama heche anavyowapelekea moto mboga mboga.

Pokea mauwa yako

Watu wamefoji nyaraka alfu uankwenda kuwatetea ๐๐

Well done

Umejipigia kama mpumbavu ๐๐๐

Huruma tu imetumika acha kujisifia ujinga

wejipigie bro tunakukubar kwasas Sina shida na wew toka umetangaza rasmi kuachana na madalali nakuw upande wa haki heri na baraka vikawe juu yako kaka

Peter, uko na mtu? ๐ซฃ

Kaka hongera sanaaa

Duuuh

Hii kesi ya kipuuzi sana. Wanafunzi wana uhitaji mkubwa sana wa mkopo, suluhisho ni kuongeza wigo wa udhamini na kuwaachia huru waendelee na masomo

๐๐ umenipigia ee

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

DPP atakosea tena sheria๐๐๐ Kwa maana hiyo yeye na wenzio hawajui sheria? ๐๐๐

Walikamatwa tena je ulifanikiwa kuwatoa?

Hongera wakili

Asantee bro๐๐๐โ๏ธHaki hushinda

Mungu Hakimu wa Haki akubariki Msomi Madereka kujitoa kwako kusimamia Haki, DPP hekima zako zikuo ngoze wanafunzi wanapoteza muda mahakamani...usiwakomaze vijana ww pia ni mzazi...Komaa na ripoti za CAG kule rasilimali zinaibiwa majizi waburuze Mahakamani tunakuombea ujasiri.
Related Videos
Aiseee tunakula vingi๐๐๐๐ Wallah sitakula tena๐
Ms Bee๐น
89,385 views โข 3 years ago
