Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Aiseee tunakula vingi😂😂😂😂 Wallah sitakula tena💔
89,385 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Huyu mnaemuharibia biashara ni mama wa familia na anategemewa sasa sisi kama watoto tuliokulia maisha ya chini tuta endelea kula bila kujali post zenu 🚮

@Jesse_pogbatz Iharibike tu kama hafanyi katika hali ya usafi!!

Mna halibu biashara zawatu!!! mamantilie bila uchafu chakula hakiwezikuwa kitamu*

Iharibike tuu!! Siku nyingne atajifunza namba nzur ya kushika chakula

Si bora huyu mama yuko sehem ya wazi na pia hizo ni tambi anafanya kuitafuta faida tu asijeweka tambi nyingi….unajua kuku wa KFC wanaandaliwaje,mambo ni mengi kila sehem muhimu kabla ya kula sali tu Mungu atakusaidia🚬👴🏿

Ukipenda mchunguza bata hutamla 🤣🤣🤣🤣

Sasa kwanamna hiyo kipindu pindi kitakosekana kwelii 🤨

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄😄kubabeki hvi vyakula vya kununua dah

Kama watu wanalamba adi sperms za waume zao na wanaume wanalamba nyuchi za wake zao basi ujue tunaishi kwa kuaminiana tu nachoona tunajaribu kuharibu biashara za watu wengi wetu wamama wa sampuli hiyo wametulea tumekuwa tumejua ya walimwengu tunadhihaki..🙄🙄

Kwenye swala la usafi inabidi uassume vile unapakua chakula upo mbele za watu wanakuona, is it hygienic?
