Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Aiseeeeee...

70,585 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Musabi.
Musabi.3 лет назад

Black is black, white is white! Tuwafundishe watoto ukatili bila kufichaficha.

Фото профиля 𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁
𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁3 лет назад

Aiseeeeee... Ni mafunzo mazuri ila Nafikiri yanawalakini namna ya uwasilishaji 😂😂

Фото профиля NTOBI
NTOBI3 лет назад

Bongo bora uzima tu!

Фото профиля T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️3 лет назад

Nyuma tena

Фото профиля Trica Online Store
Trica Online Store3 лет назад

Ngumuu hiii ila ndio uhalisiaa wa sasa

Фото профиля Hustler
Hustler3 лет назад

Ni watoto wanafundishwa jinsi ukatili unavyofanyika na jinsi yakuepuka nao. Au nimeelewa vbaya

Фото профиля BENJAMIN CHRISTOPHER JILUMANI @🇹🇿
BENJAMIN CHRISTOPHER JILUMANI @🇹🇿3 лет назад

ni elimu nzuri inastahili watoto wafundishwe ukweli pasipo kupepesa macho kwa maana haya mambo ya ukatili yapo na tunayaona. so is better mtoto akapewa elimu kabla 🤝🇹🇿

Фото профиля Makuru Robert
Makuru Robert3 лет назад

Ni somo zuri kwa watoto ili waepuke mapema wasikubali kufanyiwa hivyo lakini Sasa 😂 unahitaji uso usiokua na aibu Kama viongozi wa CCM 😂😂😂

Фото профиля Daniel Mathias.
Daniel Mathias.3 лет назад

Kuwafundisha hivyo mwsho wakajaribu.

Фото профиля Robert M. Njee
Robert M. Njee3 лет назад

Hili somo limepita mipaka. Linaweza kuharibu kuliko kujenga. Linatoa details ambazo si za lazima. Linaweza kuelekeza kuliko kutahadharisha. Wakati mwingine mambo huwekwa kwenye mafumbo mpaka wakati mwafaka. Kuna dhana kuwa uwazi hauna mipaka. Hapa lazima tuweke mizani la sivyo.

Похожие видео