Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Nimecheka kifala 😂😂😂😂😂
24,502 görüntüleme • 7 ay önce •via X (Twitter)
35 Yorum

Ninachowaomba Wanacdm, Bawacha, Bavicha msiogope na kuanza kukimbia pale Polisi wanapokuja na kusema tunawakamata. Semeni kwa pmj tukamateni kama kukaa chini kaeni na kusema hatutoki hapa. Mnapokimbia mnawapa nafasi ya kuwatenganisha na kuwakamata moja2. Tunarekodi kila TUKIO

@Tz_Kwanza Afande RPC anataka wanawake wamuogope..... Mambo ya ajabu Mura

@Tz_Kwanza Mjinga sana, wamuogope yeye Mungu.

Tunaweza tukalaumu police wetu kumbe walishapewaga limbwata na raisi

@Sir_Shuma Polisi mwenye nyota kiongozi mkubwa wa polisi unasema uongo hata shetani anakushangaa wafanye vurugu wao ni vichaa.vurugu wasifanye kokote wake kumfanyia msoma????

Hakika hawa police CCM wana uwozo wa akili sio bure na huwa hawakomi ni kitu cha aibu kwa taifa

@peppatz @tanpol Kwani wananchi wanpaswa wawaogope? Kwani ninyi mko juu ya Sheria since when?? My understanding kulingana na Katiba yetu na ubovu wake, no one is above the law. Fanyeni kazi kwa mujibu wa sheria na Katiba. Matamko yenu ya kisisiemu hayajengi. Stop operating with impunity

Kwani hawa polisi na familia zao wanakaa mbinguni? Mnashindwa kujipanga kudeal nao ? Acheni kulialia kila siku… Mnaudhi sana..deal with them accordingly na uonevu utaisha Mara moja. Polisi wanafanya huu upumbavu because hakuna consequences kwao…change that..

😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣hii nchi na uongozi wake wote wa fisiemu ni vikatuni

@mzalendo_taifa Kwani kuogopa polisi ni sheria?! Kwa hiyo usipoogopa polisi unakuwa umevunja sheria?!

Hivi haogopi kuzumgumza uongo na huo umri alionao?? Mzee mzima anasema uongo kwa lengo la kujipendekeza tu kwa watawala.

Check tulivyokaukiana kwanza, nashukuru Mungu hakuna polisi kwenye ukoo wetu imagine unakua mtu mzima alaf unakua unaamrishwa Cha kufanya Kama jibwa utaacha kubwabwaja usenge Kama huu? 🚮🚮

@mackphason Kwa hiyo mlitaka kuogopwa ? Polisi ya Tanzania bhanaa😃! Hii ni taasis ya serikali kweli ?

Kwanini polisi waogopwe?

Vurugu wanaanzishaga polisi, afu kwenye media lawama kwa chadema, 😁

@tanpol ni wauwaji. MURDERERS. Wanalaana wote. 🚮

@AlexSamoja 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

@MnunguSaid99197 Kwahyo kumbe mnataka kuogopwa

Ila police dah 😂🤣🤣

@MnunguSaid99197 Division 4 🤣🤣🤣

@UchafuziM Mbwa koko nyie. Eti polisi? Kuna polisi tanzania? Nyambaf

So polisi wanataka kuogopwa na still wanasisitiza ushirikiano kutoka kwa jamii! So is beyond insanity 🙄 #KATAA WAHUNI#

Mnatia aibu kwakweli hichi nikipindi cha kutafuta maridhiano bado mnafanya mambo ya ajabu sana

Kuna namna unaweza kujikuta unaongea jambo gumu. Haya bhana, tukutane mwakani.

😂😂

Hawa watu ni TAKATAKA 🚮

Haya mazee yenye midomo kama vinyeo wanayatoaga wapi??🚮🚮

Kumbe polisi wanataka tuwaogope kha

🤣🤣🤣 kumbe kusema siwaogopi polis ni kufanya vurugu?

@PoliceTanzania Kwa hiyo mlitaka kuogopwa? Murderous

Jeshi la polisi la uongo uongo limepoteza weredi

Muulize zingetikea athari gani..?

Tuna polisi wa ajabu. 2026 wanaume na tepe zenu mnazuia wanawake kutembea kuadhimisha siku ya wanawake duniani? Nyie man ziki kubwa hata majumbani mwenu. Mnajizolea Laana za bure mchanaaaa

@NectoKitiga Kwani kutowaogopa polisi ni kosa?Na kwa nini waogopwe? Haya ni maajabu!!!

Afirica bado tuna amini ukoloni 😥
