Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Aiseeeh.😀😀🙌🙌
109,908 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Wanakuaga wajinga sana,, apo kuna jinga moja litafata hayo na litaachika na kua single maza

take the journey

Definition ya mapenzi kwa wanawake ni pesa.

Swala ni kwamba huyo anaeongea sana hapo akifika kwa mshkaji akalambwa shingo tu atayafanya yote aliyosema hafanyi

Sema huyu shee me sijaona kama kasema kitu kibaya Yupo sahihi hajasema kwamba wanataka mwanaume mwenye hela ila at least na wewe mwanaume uonyeshe kwel unampenda hata kama mwanamke kakuzidi hela make sure unajitahidi kuprovide wanawake wanavutiwa na vitu vidogo vidogo sana

Akitoka Hapo Anampigia Side wa Kino kumuuliza Size ya Kiatu😆

Hawa wanamuongerea mwanaume gani hapo, kwa maana mara zote mwanaume anaeishi na mwanamke ni lazma na ni wajibu wakw kumtunza mwanamke wake sasa sijaelewa hapo anayeongelewa ni yupi.

Hapa ndio wanapotiana ujinga

Sasa nasemajee kila mtu ashinde mechi zake kuanzia leo

Ila hawa viumbe dah wanatuzaa tu lakini kichwani ni hamnazo indeed

Aiseee 😂 😂
Benzer Videolar
Bon, on a dit Dieu regarde seulement le cœur 😀🙌
Chris La Congolaise❤️🇨🇩
49,554 görüntüleme • 9 ay önce
