Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Aiseeeh sikujua hili kabisa.🙌🙌😀😀

65,219 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля ℙ𝕣𝕚𝕞𝕦𝕤 𝕄𝕖𝕕𝕚𝕔𝕦𝕤💊💉
ℙ𝕣𝕚𝕞𝕦𝕤 𝕄𝕖𝕕𝕚𝕔𝕦𝕤💊💉1 год назад

Walishtuka kitambo mbona, 2019 ilinikuta hii nimeweka simu na mikoba kwenye mchele wa 25kg, mzigo ukapotezwa nikaja kulipwa mchele tu.

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

- Come Around

Фото профиля Wonders Luxuries 🥰
Wonders Luxuries 🥰1 год назад

Kuna day tumeenda kutuma mzigo tukadanganya kuna soksi japo kulikua na soks na Iphone 12 imefunikwa kwa ndani vizuri.. Mzigo haukundoka..alietakiwa kupokea akapanik.. Kurudi ofisini tunasema socks, jamaa akasema nyie nilikua nawatafuta sana mnasema socks kumbe kuna simu..

Фото профиля Naughty Boy
Naughty Boy1 год назад

Niliwahi kufanya hii kazi ya kutuma mizigo kwenye Mabasi mizigo ya milion 4 naadika elf 70, Siku moja accidentally nikasikia sauti ya mwangwi inasema "unacheza michezo ya Hatari" Tangu hapo nikaachana na mabasi nikawa natumia malori, lori zipo safely and reasonable price🙌

Фото профиля rukia _95
rukia _951 год назад

Nilitumiwa mzigo kutoka dar zilikuwa abaya na kanzu thamani ya laki nne na kitu halafu nikamwambia waandike laki moja ,yaani nilikuwa nasali mpk nabinuka ule mzigo ufike salama😅😅😅

Фото профиля kabaitiJr
kabaitiJr1 год назад

Kuna mwanangu alisafirisha s25 samsung kwenye list kaandika ni powerbank😂😂😂😂

Фото профиля Joshua
Joshua1 год назад

Juzi mimi nilipanda bus moja but silikumbuki jina nikawa namsikia konda anaongea na simu anasema "mteja alikuwa anatuma mzigo uliopo kweny box na alidai nguo lkn baadae mzigo ukapotea na mteja akaja kusema ilikuwa ni kinanda aloo mteja anaambiwa atalipwa nguo kama alivo dai mwanz

Фото профиля Berry Kim
Berry Kim1 год назад

Sisi watumaji sasa tukisema ukweli usafr wanatupiga sana

Фото профиля 𝕵𝖆𝖒𝖆𝖆 𝕸𝖚𝖚𝖟𝖆 𝕯𝖆𝖜𝖆
𝕵𝖆𝖒𝖆𝖆 𝕸𝖚𝖚𝖟𝖆 𝕯𝖆𝖜𝖆1 год назад

Kuna mshikaji wangu alisafirisha Microscope mpya ya 3M akasema ni Microscope ya 800k imagine ingepotea

Фото профиля Mansamusa😎
Mansamusa😎1 год назад

Simu hazitumwi kwenye mabas acheni ujinga Either kabiz konda au dereva nje ya hapo kuna couriers kibao

Фото профиля kingkai Tz 🇹🇿
kingkai Tz 🇹🇿1 год назад

Bora kutumia kampuni ya usafirishaji bei rahis na mzigo unakufikia mlango kwa mlango mkoa wowowte hutaji kwenda stendi

Похожие видео