Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Akili kubwa 👏🏾👏🏾👏🏾
37,652 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 9

Malisa, kama unaingia kwenye vikao vya chama, please tell them to keep the message on #NoreformsNoElection consistent. Kuna muda wanacontradict na hapa ndo wanawapa G55 and Makalla maneno ya kuongea. Honestly namna ya kuzuia haiko clear at all, people needs clarity on this.

Da hii akili ni kubwa mno kueleweka kwa mwenye tamaa

ANGALIZO!!!! Kwa hii speed yako utagombana na Martin.

BIG BRAIN 💪🧠

Kudos

Dah, humu mwamba kakimbiza vby mno, mfano wake wa harusi na wagombea madaraka umenikosha sana

🌹 🌹 @ExMayorUbungo

Every sip tastes better with The Trump Red Wave Mug. 😋 Bask in this historical moment and celebrate for FOUR MORE YEARS! Let's go! 🇺🇸 MAGA! 🔥🔥🔥

Akili kubwa sanaa, mwandishi asipoelewa aache kazi hiyo
