正在加载视频...
视频加载失败
10 条评论

MartnPhil1 年前
Huko saa ngapi bro sisi ndo tunaamka tunaenda mihangaikoni ila hata hatujui tutapata au laah maana life gumu pande hizi hatuna watetezi na wakipatikana watetezi ndo wanauliwa na kuishia gerezani yaani saivi tunajiendea tu hatuelewi tunaenda wapi

bashiru nandoro1 年前
Nikibadili simu wimbo wa kwanza kurudisha ni huu miaka mingi sana haukos kwenye simu yangu ni Zaid ya wimbo kwangu

Solar Heavy1 年前
- All I Knew

ISSA MGHWAI1 年前
Au umelala sikasinka tegeta 😀😀

Askari wa Ardhini1 年前
Wakazi umeisikia hii

KINGPIN JOHN DOE 🇨🇴🇺🇸1 年前
23:02

Edwin lisakafu1 年前
Rap phenomenon,holla at your boy.!

➖1 年前
RIP Albert Mangwair

Saumu Yanga1 年前
Iwe kwa kuuza mziki drugs au meno ya tembo 😭😭 Kumbe jamaa aliviishi viapo vyake

Mkanuni05 🇹🇿1 年前
Noma sanaaa

