Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

36,012 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von MartnPhil
MartnPhilvor 1 Jahr

Huko saa ngapi bro sisi ndo tunaamka tunaenda mihangaikoni ila hata hatujui tutapata au laah maana life gumu pande hizi hatuna watetezi na wakipatikana watetezi ndo wanauliwa na kuishia gerezani yaani saivi tunajiendea tu hatuelewi tunaenda wapi

Profilbild von bashiru nandoro
bashiru nandorovor 1 Jahr

Nikibadili simu wimbo wa kwanza kurudisha ni huu miaka mingi sana haukos kwenye simu yangu ni Zaid ya wimbo kwangu

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

- All I Knew

Profilbild von ISSA MGHWAI
ISSA MGHWAIvor 1 Jahr

Au umelala sikasinka tegeta ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Profilbild von Askari wa Ardhini
Askari wa Ardhinivor 1 Jahr

Wakazi umeisikia hii

Profilbild von KINGPIN JOHN DOE ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
KINGPIN JOHN DOE ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธvor 1 Jahr

23:02

Profilbild von Edwin lisakafu
Edwin lisakafuvor 1 Jahr

Rap phenomenon,holla at your boy.!

Profilbild von โž–
โž–vor 1 Jahr

RIP Albert Mangwair

Profilbild von Saumu Yanga
Saumu Yangavor 1 Jahr

Iwe kwa kuuza mziki drugs au meno ya tembo ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Kumbe jamaa aliviishi viapo vyake

Profilbild von Mkanuni05 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Mkanuni05 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Jahr

Noma sanaaa

ร„hnliche Videos