Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Alivyojibiwa

21,704 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 12

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Mambo si Mambo.. Hali si Hali.. Sikiliza Hananja alivyojibiwa baada ya kumsema mtumishi mwenzake. Video kwa Comments 👇

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Hananja

Фото профиля MWALYAMBI_VF🇹🇿🇮🇱
MWALYAMBI_VF🇹🇿🇮🇱1 год назад

Ni aibu kabisa ni heri umelisema mtumishi wa MUNGU tunategemea hekima kutoka kwa wazee wetu na sio maneno ya mipasho mzee hananja alijikwaa kweli maana leo ni kwa gwajima kesho ni nyumbani mwake kkkt

Фото профиля Mwiba
Mwiba1 год назад

WAKO WAPI WATUMISHI WA CALIBRE YAKO WASIMAME NA KUISEMA KWELI YA MUNGU. MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI MTALEMWA

Фото профиля Kimura Shunji
Kimura Shunji1 год назад

Aminaaaa ubarikiwe mtumishi wa mungu

Фото профиля Chief Ndichie
Chief Ndichie1 год назад

Umemjibu vyema sana huyu mzee bila hata kupindisha

Фото профиля Inguluvi_Nyalusungu
Inguluvi_Nyalusungu1 год назад

Hekima sifuri! Turning the alter into gossiping place! Preach the gospel and move.

Фото профиля Anchelous Kyaruzi
Anchelous Kyaruzi1 год назад

Ndo maana alifukuzwa kanisani @Hananja ni mshenzi kama washenzi wengine

Фото профиля BuzaMan👣
BuzaMan👣1 год назад

Kwahiyo na na yeye anaomba mwenzake afe au sio 😂 na yeye pia jau

Фото профиля Kanoja Kanoja
Kanoja Kanoja1 год назад

ukwel mtup

Фото профиля Himself🇧🇷
Himself🇧🇷1 год назад

kumbe Zedekia ni tusi! 😄

Фото профиля prophet Joseph Gwayemba heavenboyclassic
prophet Joseph Gwayemba heavenboyclassic1 год назад

Ameen amen

Похожие видео