Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

108,983 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Majengo SS Jamal 🇹🇿
Majengo SS Jamal 🇹🇿2 лет назад

Mtoto wa nyoka ni nyoka, hayo si majibu ya bahati mbaya, ni matokeo ya malezi ya Mama yake

Фото профиля Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊2 лет назад

Ningemtafutia mwanasaikolojia akae nae chini usikute anapitia msongo wa mawazo

Фото профиля ATR Mtiling’ati
ATR Mtiling’ati2 лет назад

Mama ake pia kazingua aina ya maswali ndo yametoa majibu hayo. Hii Generation kazi kazi

Фото профиля Makuru Robert
Makuru Robert2 лет назад

Mtoto hana kosa hapo. Mjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake ndicho alichokifanya hapo. Kuna mtu humu anaweza kumuuliza hilo swali analoambiwa akamuulize baba yake ataweza kufanya hivyo?

Фото профиля Prince Of Mwanza
Prince Of Mwanza2 лет назад

Maswali ya kiwaki unayapa majibu ya kikuda

Фото профиля Mlula_Graphics
Mlula_Graphics2 лет назад

Duh aisee 🙌🙌Huyu mtoto kwa majibu yake mzazi anaweza shikwa uchungu. Mara ya pili. Mungu asaidie tu aisee

Фото профиля TricyLove🦁
TricyLove🦁2 лет назад

Siwezi hata kuhojiana nae hivo Mungu anisaidie kwakweli kwa hizi hasira zangu sijui tu

Фото профиля Zee La Nyeti 𝕏
Zee La Nyeti 𝕏2 лет назад

Foolish age hii inasumbua sanaa

Фото профиля KingJames I
KingJames I2 лет назад

haya majibu watoto uwa wanayachukua moja kwa moja toka kwa wazazi, au kwa walezi,hasa Mama mzazi akiwa mropokaji kwa sana na mtoto hakemewi.

Фото профиля VIN
VIN2 лет назад

Mama anawezaje kumuuliza hivyo binti yako ? Majibu kayatoa Kwa mama yake .

Похожие видео

Omgggg💔💔💔
1:27

Sensitive content

Omgggg💔💔💔

Yomi

112,700 просмотров • 1 месяц назад