Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Ana kitu. Asikilizwe ๐Ÿ˜Ž

30,889 views โ€ข 3 years ago โ€ขvia X (Twitter)

34 Comments

Sia Da Vinci๐Ÿ’Ž's profile picture
Sia Da Vinci๐Ÿ’Ž3 years ago

Mambo ambayo vijana hawataki kusikia.

Renatus's profile picture
Renatus3 years ago

@batho_shukran akili a.k.a knowledge

Donself's profile picture
Donself3 years ago

Hapo kwenye kuacha kazi ofisini ndio penye mashaka(Motivesheni spika),inshort ni dalali huyu,there is nothing special.

Yahaya's profile picture
Yahaya3 years ago

Yuko right na nimepata kitu kutoka kwake.

ETHICAL HACKIN''s profile picture
ETHICAL HACKIN'3 years ago

Huyu anajua anachoongelea nice one

Cuthbert Sweetbert's profile picture
Cuthbert Sweetbert3 years ago

Asikilizwe yupo vizuri

Happy Jasmine's profile picture
Happy Jasmine3 years ago

#Unyama๐Ÿค—๐Ÿ‘

Msafirisafarini's profile picture
Msafirisafarini3 years ago

Sawa

Sam's.Big.Div's profile picture
Sam's.Big.Div3 years ago

Usicheze na mwanamke narudia tena usicheze na mwanamke anabidhaa adim hivyo vingine nyongeza.

Butuba Paschal M's profile picture
Butuba Paschal M3 years ago

Ameupiga mwingi sana huyu

๐ป๐’ถ๐“ˆ๐“ˆ๐’ถ๐“ƒ๐Ÿ’ฑ's profile picture
๐ป๐’ถ๐“ˆ๐“ˆ๐’ถ๐“ƒ๐Ÿ’ฑ3 years ago

Huyu ajengewe sanamu kwaajili ya kumbukumbu......

sosy_underwear's profile picture
sosy_underwear3 years ago

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

LALO SALAMANCA's profile picture
LALO SALAMANCA3 years ago

@SaveMyVideo

Mnyambuda's profile picture
Mnyambuda3 years ago

@GetVideoBot

Nubian's profile picture
Nubian3 years ago

Tuone anatoboa mwaka bila mtaji

Ngidasiwe's profile picture
Ngidasiwe3 years ago

Huyu manzi ni hustler, nimekubali ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

DENIS's profile picture
DENIS3 years ago

True ana kitu hivo ndo vitu vya kushare, abarikiwe sana

P_Bosco's profile picture
P_Bosco3 years ago

Iyo sio akili ni amejiongeza tu kuwa Dalali kama madalali wengine kuwa mtukati uwezi kusema ametumia akili kiivyo apo mtaji ni muda wake na bando kupost tu

Njiku Jr๐ŸŒป๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ!'s profile picture
Njiku Jr๐ŸŒป๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ!3 years ago

@Mrproject_ Shukran sana kaka kwa kutusogezea hii ana hoja watu wamsikilize

Shukuru's profile picture
Shukuru3 years ago

ana kitu huyu atafika mbali

Samwel plumber's profile picture
Samwel plumber3 years ago

Motiv daaah ... Ay tuishie kusema nyie mnaakil zaid

Fabby-alonso๐Ÿ› 's profile picture
Fabby-alonso๐Ÿ› 3 years ago

Fanya ww wa kiume kama utatoboa

Mboka boy's profile picture
Mboka boy3 years ago

GetVideoBot

The Government Guy's profile picture
The Government Guy3 years ago

โ€ฆ.Atafika mbali

Pierre Peter's profile picture
Pierre Peter3 years ago

katoa madini sana

John's profile picture
John3 years ago

Ameolewa??

Revocatus Millambo, Ph.D.'s profile picture
Revocatus Millambo, Ph.D.3 years ago

ohoo

John's profile picture
John3 years ago

.๐Ÿ˜

Mboka boy's profile picture
Mboka boy3 years ago

@GetVideoBot

JKT TANZANIA FC21's profile picture
JKT TANZANIA FC213 years ago

Akili ety mbwa ww

Albite's profile picture
Albite3 years ago

Mmh mbona kama tumepigwa

Revocatus Millambo, Ph.D.'s profile picture
Revocatus Millambo, Ph.D.3 years ago

@Di_Signal_9 Rudia kusikiliza tena ๐Ÿ˜…

Seth Damian's profile picture
Seth Damian3 years ago

Nmejifunza kitu kwa kweli Asante kwa elimu.

Stee's profile picture
Stee3 years ago

100% inspirational

Related Videos