正在加载视频...
视频加载失败
Ana-Make Sense 💯
83,586 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Huo ndio Ukweli📌📌 na wanajua Sema wanajizima Data Maana Kwa Asilimia Kubwa unawalinda wao Hasa Upuuzi wao Wanaofanya🤔

📢 The Draft Plan for HUDI’s Relaunch: 🌐 HUDI goes multichain 🛸 Mega airdrop 🔥 Token burn 🔥 🤖 Product launch: HUDI AI to talk with your data and beyond 💡 What do you think? Suggestions or ideas? 🐸 Let’s make HUDI great again! 🚀 #HUDI #Crypto #binance #token #bitmart #bnb #token #launch #AirdropAlert

Polepole tu, yaani taratibu sana... Magufuli mwingine tunaye, na anazunguka huko kama wazimu akipiga kelele kila kona Kumbukeni, mwaka 1939 Hitler alishinda tuzo ya amani ya Nobel ingawaje ilikataliwa baadaye lakini awali alionekana kama mpenda Demokrasia mzuri sana

Nahisi samia ni mbaya zaidi ya magufuli at least magufuli aliyofanya yanaonekana kwa macho

This country needs to be MAGUFULIFIED .... and this time it should be more serious than before

Tusipo utatua huo atakuja magufuli, pole pole mwingine, makonda wa enzi za magufuli na wengine wengi

Oyaaa mzee uyo Magufuli mwingine ndo tunamuomba Mungu atuletee

Asa si bora aje magufuri mwingine kuliko Huu usenge unao Endelea…!

Daah ndo maana nchi miaka na miaka Bado hipo palepale kiuchumi. Ulimwengu unabadilika Lakini sisi mifumo yetu haibadiliki Ili kuendana na mifumo wezeshi Kwa uchumi Bora. Mfumo wa kiutawala ukabadilika TU basi tutaanza kuona nchi ikikua Kwa haraka Kwani tuna rasilimali zote.

Akaliww kule....Kuwa mpinzan sio dhambi ndio hatukatai....Lakin we kila siku utakuwa mtu wa kutafta Kasoro na mabaya ya chama tawala ? And what about mazuri wnayoyafanya,why hamyaongei?🚮💔

On the making
