Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Anamsema nani ?
46,136 Aufrufe • vor 11 Monaten •via X (Twitter)
9 Kommentare

This Game Pays You! 💵

Mnatukosea sana muda mwengine 🚮🚮 hivyo unawaambia vijana wakaanze kutafuta anamsema nani,mange aliacha haya kwa ajili ya watanzania wa focusi na #noreformsnoelection sasa wewe hapa sijui i.ekiwaje

Anamuongelea John Mrema Kiwingu wa Eisitii

Sema ‘kimeumana…..’

Mlichelewa Sana kumjua @zittokabwe ni dalali wa siasa wa muda wote

Aya majinga yasiyo na elimu ndio yapo mbele mbele matumbo wazi kutaka kuongoza hii nchi ila safi acha uyu dalali aliyeamua kuasi arakati aaaibishwe

Chawa wengi watasemana MWAKA huuuu😭

Anamuongrlra KINJEKITILE NGWALE,dakali mkuu wa damu na roho za watu,jitu lililofeli kuvumilia njaa kwaajili ya kesho njema,jitu lenye ndimi 10 na tamaa kuluko MUUZA PAPA wa Sinza au Kinondoni Dar es Salaam.

Acheni kupoteza muda wenu tumekubaliana kwamba oktoba tutalinda kura zetu kwa wivu mkubwa sana kwa kubaki nazo nyumbani. Ni hivi hatujiiiiiiiiiiiiiiiiii

