Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Angalia mpaka mwisho!! Oya hizi challenge 🙌🏽🙌🏽😅😅

38,999 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 32

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏2 лет назад

Oyaa mnasemaga hizi ni Content tu hazina ukweli😂😂😂 Mbona hapa ni kweli, 😂😂🙌🏽 Mwamba kwavunjiwa vioo vya Gari na Demu wake baada ya kufumaniwa Coco beach!!😅😅🙌🏽 Oyaaaa!! Kwanza wamejuaje location ya mwamba 😅😅🙌🏽 Video kwa Comments👇🏾

Фото профиля Christopher Lyatinga
Christopher Lyatinga2 лет назад

Kitendo cha kumlaumu Dada mwenye challenge yake kinaonesha Sisi Kama binadam kuna vitu hatutaki kujua hata Kama vinafanyika kweli kwakuwa hatuko tayari kuishi na huo ukweli baada ya kujua🤣🤣🤣

Фото профиля Manofpeople
Manofpeople2 лет назад

Hivi inakuwaga serious au matani wazee😂😂

Фото профиля Jimmy Yassin
Jimmy Yassin2 лет назад

Hahahahaha kudadeki sana

Фото профиля kinduru
kinduru2 лет назад

Ndo apasue kio changu Cha gari?kisa nimemdanganya?

Фото профиля Kidogo🚨Chetu
Kidogo🚨Chetu2 лет назад

Usenge sana 😎😎

Фото профиля Bumbuli_OG👣
Bumbuli_OG👣2 лет назад

Kioo Cha gari kisa challenge ya jinsi ya ef 18 😅 what f**ck

Фото профиля A$AP Rocky🇹🇿
A$AP Rocky🇹🇿2 лет назад

Yule dem alieshuka kwenye gari sio poaa

Фото профиля Dr. Millan
Dr. Millan2 лет назад

Mniambie hiyo app iliyo soma location ya mchizi ni app gani

Фото профиля BantuKwanza
BantuKwanza2 лет назад

Hii ni content imepangwa.. Sijaona mtu katoka na jicho limevimba hapo maana alitakiwa apigwe mtu hapo..

Фото профиля Emanuel Moses
Emanuel Moses2 лет назад

Honestly huu ni ujinga huwezi Fanya challenge ya kuharibia watu maisha yao Kwa manufaa ya kipato kupitia challenge yako . Hell no

Фото профиля g__wyne255
g__wyne2552 лет назад

Nikiwahi ona kama hii ni maigizo tuu na magari mabovu ya tandale ndo maana limepaki alone

Фото профиля Tz Red Devil 👹
Tz Red Devil 👹2 лет назад

Mimi namuomba huyo shogaake … ana bright future behind

Фото профиля SINA 💯 🐅 🐆
SINA 💯 🐅 🐆2 лет назад

Demu kasema anaenda kunya geto kwa mshkaji

Фото профиля Remmy Louis
Remmy Louis2 лет назад

Staged bhn😅😅..angalia dem alivobeba jiwe kubwa la mwshoni kuvunja kioo chote hamn mtu aliemfuata😅😅.....yan sas hich kioo cha gar ni sawa tu na bei ya kioo cha samsung s21 😅😅si lak 5

Фото профиля J De Bruyne
J De Bruyne2 лет назад

STAGED. Nothing is real.

Фото профиля josendege
josendege2 лет назад

Hizi challenge ni usenge wa kupindukia ata hao wanaofanyiwa challenge Niko na wasi wasi nao

Фото профиля Martin L jr
Martin L jr2 лет назад

Haya mambo siyo poa ujue

Фото профиля Abdul Sadiki
Abdul Sadiki2 лет назад

Ah yan hii video naiangalia marakibao huku nawaza huyu dem anayevunja kioo km mshkaj alidet nae tu km maraya tu af alietoka kweny gal ndo anaplan nae mh!!! Spat picha mchiz anavyojilaumu kutongozatongoza ovyo

Фото профиля Aladin
Aladin2 лет назад

Demu kichaa wamoto kishenzi jamaa alimtoa bikra nini

Фото профиля _.Ja.ck.i.i.i.012._
_.Ja.ck.i.i.i.012._2 лет назад

Application gan wanatumia hzoo kujua mtu yupo wapi

Фото профиля MackMuga💯🏆
MackMuga💯🏆2 лет назад

Hizi Challenge za Nyoko Siku Wajichanganye Ndo Itakua mwisho wao

Фото профиля AJM
AJM2 лет назад

Noma sana

Фото профиля John Kapaga
John Kapaga2 лет назад

Duh hawa jamaa mbona wanyama sana

Фото профиля Makunganya
Makunganya2 лет назад

Hahahahahahahahahahah hataar saaaanaaa....

Фото профиля Abuu18
Abuu182 лет назад

This is so fan

Фото профиля Thomas
Thomas2 лет назад

Hii kufuatilia privacy za watu Mbona zimekaa kiboya sana!

Фото профиля ImranMonelaw🇹🇿
ImranMonelaw🇹🇿2 лет назад

Aaaaah kuwa loyal ni kazi sana aseee😄😄😄😄

Фото профиля Msafiri Amiri
Msafiri Amiri2 лет назад

Sio kesi kioo jiwe na nusu kama demu wako kakufumania uwe mpole tu

Фото профиля Adam wa KONDOA
Adam wa KONDOA2 лет назад

Hizi ni maigizo kma maigizo nyingine hakuna cha challeng hapo

Фото профиля RasoulHK🍁
RasoulHK🍁2 лет назад

😂😂ohoo

Фото профиля Vinold John Mkenda
Vinold John Mkenda2 лет назад

Wanawake wa mjini hawana mpango kabisa. Kwani wao walikuwa wanaenda wapi? Alafu ghafla wamegeuzwa wanapelekwa coco na wao kama mbuzi hawa hapa. Hakuna cha challenge hapa maigizo haya. Kioo kilikuwa kimepasuka au kuvuja sasa wameona wasikibadilishe tu bila kiki

Похожие видео