正在加载视频...

视频加载失败

Wanawake bana🫵🏾😁 Angalia mpaka mwisho.

21,094 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

backbenchakookoo 的头像
backbenchakookoo1 年前

Huyu jamaa hatufai na utoro wa vikao ndo tatizo lake sugu,tulishasema kama rafiki au ndugu wa mpenzi wako atajifanya kukatisha msitari unapiga na siku wakijuana unakausha km sio ww,nin hiki sasa aise naomba niitishe kikao cha dharula jioni ya leo,kina kevoo mmekuaje?

@Omary Ally Kitiku 的头像
@Omary Ally Kitiku1 年前

Ute ute haunatiiii 😀 ndo hiii 😂 Anachangamkia Fursaa

B 的头像
B1 年前

Iyo txt ya kukandia jamaa alifuta hakutuma.. ila demu kajibu habari za kukandia 🤷🏼‍♂️

Choma Deodatus 的头像
Choma Deodatus1 年前

Sio marafiki tu hata ndugu wanaweza kugeukana, ogopa sana kiumbe kinachoitwa mwanamke.

DUNYA LISSU 的头像
DUNYA LISSU1 年前

Demu yupo sahihi kama yeye anamjua benja Harafu kumbe kelvin na akaanza kuuliza kaja huko naye kasema hajaja na anamuonea huruma shemeji apo yupo good siyo aiache iyo nafasi mbali aikave kiaina tu

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

Gosu Gosu 的头像
Gosu Gosu1 年前

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie 😅

It's Mng 的头像
It's Mng1 年前

Mademu jau awaaoni kazi kuzungukana ,et shemej kwan auwezi kusoma barua kwenye bahasha 😅🙌

Jooozey 的头像
Jooozey1 年前

Michezo hiii hamna lolote huyu shemeji "KUMKANDIA" ameitoa wapi wakati jamaa kaandika afu kafuta

balozi wa mbeya 的头像
balozi wa mbeya1 年前

😂😂😂

narrow_bee_fly 的头像
narrow_bee_fly1 年前

😁😁😁

相关视频