正在加载视频...

视频加载失败

23,056 次观看 • 5 个月前 •via X (Twitter)

34 条评论

Pst Frank 的头像
Pst Frank5 个月前

@kilepi_tweve Kwa speech hii,,, mboga mboga na Ngogwe lazma wakae kikao cha HILA, ili kumtafuta huyu mwamba na kutengeneza mazingira ya kuokoa jahazi lao lililofikia mwisho,,,, Aibu kubwa inakuja.,, ni suala la Muda.

Gaidi Mzalendo🕊️ 的头像
Gaidi Mzalendo🕊️5 个月前

Huyu mwanachadema na mwanachama wetu mpya tunaomba apewe ulinzi wa kutosha maana kaongea ukweli mtupu ili watekaji na wauwaji wasije wakamteka

Kadogo551 的头像
Kadogo5515 个月前

Kaka Heche wahuni wa @SuluhuSamia wanakuwinda Tulishagundua kwamba Samia ana kikundi hatari cha kigaidi so kuwa makini mtumishi

Mr. Magnifico 的头像
Mr. Magnifico5 个月前

M/Kiti hawa wananchi washikilie jenga ngome huko ili waamini CDM ni chama cha ukombozi

HAKI HUJENGA AMANI 的头像
HAKI HUJENGA AMANI5 个月前

@kisuda_adam Mh. Makamu mwenyekiti kama ulivosikia maelezo y huyo mjumbe wa ACT wazalendo wa mkoa wakilwa ndivyo ilivyo inchi nzima.mimi nashauli wakati huu ambapo chama kimewekewa vizuizi haramu iundwe timu yasiri kwaajili ya kutengeneza wanachama na kuwakadia kadi ili kuendelea kujiimalish

dechimavasco haonga 的头像
dechimavasco haonga5 个月前

Wanasema chadema imekufa,,acha waendelee kujidanganya

MwanaFalsafa_🇹🇿 的头像
MwanaFalsafa_🇹🇿5 个月前

Heche taifa linakutegemea mzee, huyo jamaa kaongea kwa hisia sana

Toure 的头像
Toure5 个月前

@lifeofmshaba Abduli na samia Wakiona hivi wanaumia na wanaweza mateka huyu baba! Na wewe pia mh

Nzalang Nacional 的头像
Nzalang Nacional5 个月前

Dalali wa Kigoma kawachelewesha sana hawa

bwakila 的头像
bwakila5 个月前

@lifeofmshaba Nikajua rula imenyooka kumbe huyu jamaa kanyooka zaidi

Charles Mwanyanje 的头像
Charles Mwanyanje5 个月前

@NamdiAzikiwe CHADEMA imebeba matumaini makubwa sana ya kila mtanzania mwenye kiu ya mabadiliko ( Haki na maisha bora ) please viongozi na wanachama msije kucompromise! Imani yetu kwenu ni kubwa sana na tuna imani mtatuvusha kwa uweza wa Mungu! Inshallah 🙏✊✌ #AlutaContinua #Peoooooooooople

Chunya county 的头像
Chunya county5 个月前

Nchi hii watu sahihi wakuongozwa wamejaa tele kilichokosekana ni watu sahihi wakuwaongoza let us fight again and again tutalikomboa taifa letu.

muuza mbao tz 的头像
muuza mbao tz5 个月前

Huyu jamaa ukimuangalia tu utagundua kua mtu makini sana

Vailethy Shayo 的头像
Vailethy Shayo5 个月前

Hongera makamu Mwenyekiti,tuko na wewe mpaka kieleweke

Kassala 的头像
Kassala5 个月前

Ndg. Heche, this we can assure you, CHADEMA hamuwezi kuibomoa @ACTwazalendo kanda ya Kusini. Kama ambavyo mliwahi kuthubutu kupeleka program kabambe yenye gharama za mamilioni ya pesa (operesheni chama ni msingi) na mkafeli, ndivyo mlivyofeli na kufeli hata sasa. Mark my words!😀

simego 的头像
simego5 个月前

Hakuna mmakonde mshamba

Makuru 的头像
Makuru5 个月前

Na mimi ushauri wangu kwako kaka JW Heche Nilipata bahati ya kukuona kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo huko Serengeti 2011/12 hivi na tangu hapo nilikuamini na nikaiamini CHADEMA tangu hapo nikawa mfuasi wa chama hili na 2015 nilipiga kura yangu ya kwanza. Tunza imani

Daniel Samson 的头像
Daniel Samson5 个月前

@lifeofmshaba Awe makini wanaweza wakamdaka. Hawapendi Logic, critical thinking, think-tank.

KIDUKU OFSA NGIRI 的头像
KIDUKU OFSA NGIRI5 个月前

Kanyooka Kama Mkia Wa Ngiri

Angry Citizen 的头像
Angry Citizen5 个月前

@mackphason This is so deep!

Babu lohaa 的头像
Babu lohaa5 个月前

Cchadema ndo chama pekee ambacho ata Mungu anajua kinapigania haki za maskini wa nchi hii.akuna chama kitafikia chama cha chadema. Marehemu baba yangu alishaniambia chadema ni chama sio blah blah

MsumenoMkali15🇹🇿. 的头像
MsumenoMkali15🇹🇿.5 个月前

CDM my big party.

The Bullet 的头像
The Bullet5 个月前

@RahmaMwita takbiiiiiiiiir.....!!?

Gidison Marco 的头像
Gidison Marco5 个月前

Safi sanaaaa

Joblube4 的头像
Joblube45 个月前

@Kazingumu Kijani wangekuwa na akili wangesoma alama za nyakati kulinda amani nchi hii kwa kutenda haki, kutupatia mfumo wa usawa Katiba Mpya kabla ya kulazimishwa. Ila jinsi wanavyologana sijui sioni mwanga kipitia Kijani🙆‍♂️🙆‍♂️

Mzee Mwanakijiji 的头像
Mzee Mwanakijiji5 个月前

@LembrusMchome Kuna ujumbe wako huku matako wewe

Julius Joseph Massabo. 的头像
Julius Joseph Massabo.5 个月前

Wenzetu Mlienda Msibani kupiga siasa Aloooo.

Thadei Mhabuka 的头像
Thadei Mhabuka5 个月前

Asante sana kwakweli.

Asombwile David 的头像
Asombwile David5 个月前

Una deni kaka mkubwa Mungu akuongoze CHADEMA sio chama tena bali ni imani

Jamsheed Hemed 的头像
Jamsheed Hemed5 个月前

Maashaallah. Hizi nondo zimeenda shule, haswaa. Watu wa Kilwa wanaitaka Chadema, na wanaamini itawavusha kutoka hapa tulipokwama. Ni wakati sahihi wa kufungua Tawi na kujenga ofisi za Chadema, Kilwa. Vijana waende wakawaeneze Sera za Chadema. Na ombi lao la wanasheria lisipuuzwe!

Lushona M 的头像
Lushona M5 个月前

Kaka naona umeenda kufanya siasa msibani wakati sisi tumefiwa

Mrisho Abdul 的头像
Mrisho Abdul5 个月前

Nimeamini chadema ni mpango wa mungu

Dr. philosopher 🩺 的头像
Dr. philosopher 🩺5 个月前

Aongezewe ulinzi tafadhali

Paulo Fonyoke 的头像
Paulo Fonyoke5 个月前

Ukomboz unakaribia wala siyo mbali nuru itawaangazia wana Kilwa.

相关视频