ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
Asee ๐๐ฝโโ๏ธ๐ณ
34,826 ๆฌก่ง็ โข 7 ไธชๆๅ โขvia X (Twitter)
32 ๆก่ฏ่ฎบ

Wakitakaga kuondoka bongo huwa wanaanza hizi mambo , Yanga wajiandae kutafta golie mpya

Sioni kosa la diara hapo mzee hawa marefa ndio wanayataka haya yote hapo alikuwa anakula umeme kbs

Huyu refa ni wa Simba nini sasa alishindwa nini kusema pale ni fauloโฆ huyu refa ni kenge.. itoshe kusema hawatuweziโฆ.

Watu wamekalisha matako huko makwao hawajawah hata kupiga mashuti mawili tuu kwa miaka sasa wanakula na kulala alafu wanajifanya ma judge ! Watu wanacheza wanafanya kazi zao wanachoka ila wanakaza alafu kila siku wanaonewa tuu kila binaadamu ana limit yake!! Kashanyamaza sana

Jamaa yupo serious anahisi NBC ni EPL ๐คฃ๐คฃ

Huy keeper ni kipa mzur san but why team kubwa hawamuhitaj coz bad anampira wa kizamani san malalamiko mengi yanapunguza ubora wake hivi vitu huwez kuviona kwa Aishi hat alipikua kweny Top class yake poleni yanga but tarajieni huy keeper wenu kukutana na barn tena

@kilepi_tweve huyu jamaa kashazoea anajua kua anaweza kumfokea kila mtu

@tplboard Huyu kijana amekuwa wa hovyo,arrogant and big headed,sio mara ya kwanza kutisha marefa,naamuru ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria haraka sana

Ninge mtia nyekundu hivi refa unaambiwaje usitoe kadi ilihal mtu kavunja sheria

Kwann arudishe kadi asha ichomoa?

Hawa wachezaji wa kigeni wakipewa heshima wanajisahau sana. Nasubiri atakachofanywa na wasimamizi wa ligi

Diara anajikuta nani sku hizi au ndio anazeeka vibaya? huwezi kukosa heshima kwa refa namna hii, ngja akutane na rungu la kamati heshima imrudi

Kuna mtu anaweza kujadili chanzo cha hii reaction? Au wote mnajadili reaction?

Kamati ikimuacha basi tutaamini wako juu yao..

@Tanfootball Tunaomba haki kwa mwamuzi hapaswi kufanyiwa hivyoo

Hako kajamaa kafupi kanajikuta nani? Kanapenda sana kufokea marefa.

Diarra haelewi๐

Refa kutoka Moshi,anatuaibisha wachagga

Nasubiri ripoti ya masaa 72

Kwa hiyo Diarra ndiye VAR ya NBC league

Hapo mbona ni nyekundu tu halafu mengine yatakuja kufwata

Mbona mna kazana na mmoja kwan refa ni nani kwenye hii league

Red hii

Hili ligoli kipa la utopolo ni la kuvunja miguu tu

Marefa wanawadekeza mno!

Yaan yeye ndio anauchungu sana na tumu eee

Kaka @GeofreyLeons kwani diara aliwahi kuwa bondia?

Refa anasita kutoa kadi Ana undugu na Diara? Wanakaendekeza

@tplboard @Tanfootball huyu diara mbona vitendo vya kuwafokea marefa vinazid ipo sku atawalamba vibao marefa atawalamba na nyie

@Tanfootball litazameni hili. Msifumbie machi hata kidogo. Tusikubali uhuni wa namna hii katika ligi yetu pendwa. p

Kamezoea

CHOKO HUYU
็ธๅ ณ่ง้ข
Sensitive content
Yhuuuuu ๐๐ฝโโ๏ธ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ now thatโs quite a rich criminal resumรฉ
Mlamli Baliso
139,969 ๆฌก่ง็ โข 21 ๅคฉๅ
Sensitive content
Na person daughter be this o ?๐ณ๐๐ฝโโ๏ธ
Damiโ Adenuga
1,269,381 ๆฌก่ง็ โข 3 ไธชๆๅ
Sensitive content
Peller na bad boy ๐ณ๐๐ฝโโ๏ธ
Classic Media
104,374 ๆฌก่ง็ โข 8 ไธชๆๅ
Messi rejected โฌ1.4Bn to join Al Ittihad๐ณ๐๐ฝโโ๏ธ
Adika
44,854 ๆฌก่ง็ โข 9 ไธชๆๅ
Sensitive content
Man impregnated mother and daughter same time ๐๐ฝโโ๏ธ๐ณ๐ฉ
Chief Ozo๐
145,891 ๆฌก่ง็ โข 8 ไธชๆๅ
