Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Askofu Zachary Kakobe 👏
29,656 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Keegan1 yıl önce
Wenye D4 tumemwelewa.......🤣🤣

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿1 yıl önce
Sasa tumwamini nani? Hawa wanasema upako upo na kwamba viwete wametembea; vipofu kuona!! Wengine wanasema UPAKO ni utapeli. Hapa sasa kila mtu ashinde mechi zake tu

Mr Seth1 yıl önce
Alafu unabii sio wa Kila siku hutolewa mala moja Tena Kwa dhumuni maalum

RamDan🌿Gwataman1 yıl önce
Watatokea manabii wauongo zama zimeshakaribia

Humphrey!1 yıl önce
Unadulterated gospel this one.

Geofrey Enock1 yıl önce
Watu Wanajazana Kama Mbuzi na Hela Zao Wanatoa

Mwanza 🇺🇬🇹🇿⭐1 yıl önce
Amepiga kwenye mshono..Lile tapeli

Silas Kombe1 yıl önce
Aiseeee nawaza watu wanaoenda kama Kawe

#CaRDiNaL🫵🏿😎1 yıl önce
Upako hauuzwi.ahsante askofu bagonza

24 Seven1 yıl önce
He’s man of God, inside Mesiah.

