Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

36,772 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

17 Kommentare

Profilbild von Samwel Msuya
Samwel Msuyavor 1 Jahr

Huyu ni nabii wa kweli, kazi ya nabii ni kuionya mamlaka. No reforms no election 🛑

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 2 Jahren

take the journey

Profilbild von travela
travelavor 1 Jahr

Ujumbe wa Baba Askofu umekuja kwa wakati sahihi ni wajibu wa watawala kuzingatia yaliyosemwa wasishupaze shingo.

Profilbild von BongoArtPaint
BongoArtPaintvor 1 Jahr

Ama kweliii hii no reforms no election imewapa ujasirii watu watu wameleta upinzani mkali kweli kweli we need reforms

Profilbild von Odhiambo Cairo
Odhiambo Cairovor 1 Jahr

Tatizo watawala wameshajiita viziwi. Yataingilia kushoto na kupotelea kulia. Watawala wamejisokota kwenye vyombo vya dola na vya maamuzi. Wanadhani wao ndiyo wamiliki wa nchi wengine ni watoto wa kambo. Wananchi wameyalea haya kwa kudhani tatizo ni la Cdm kwamba wao hawahusiki

Profilbild von Secretary Pompeo
Secretary Pompeovor 1 Jahr

Watu ata aibu Hawana eti yanaenda kwenye uchaguzi uku strong contender yupo jera

Profilbild von Robert Ng'wala
Robert Ng'walavor 1 Jahr

Huyu ukimlinganisha na @Malasusa ni mbingu na ardhi kweli #NoReformsNoElection ni mpango wa Mungu

Profilbild von Rajabu Mrisho
Rajabu Mrishovor 1 Jahr

Askofu ameongea maneno ya maana sana. Kwa watawala na watawaliwa

Profilbild von venture
venturevor 1 Jahr

No reforms No election

Profilbild von SHANI SAKILU
SHANI SAKILUvor 1 Jahr

Mpango wa Mungu huu ni reform no election

Profilbild von #kazinabata
#kazinabatavor 1 Jahr

Kubwa sana hiiii

Profilbild von Amani Mbijima
Amani Mbijimavor 1 Jahr

Naongezea Baba Askofu kafunua mshono

Profilbild von AM
AMvor 1 Jahr

@godbless_lema naomba waalikeni maaskofu WOTE walionena ukweli kupitia jumbe za pasaka then mje na neno la pamoj naamin nchi itasimama kaka moto umeshakolea

Profilbild von Activist Geneous Kija
Activist Geneous Kijavor 1 Jahr

God is working 💪 He is working in ways we can not see..

Profilbild von andile Zuma's
andile Zuma'svor 1 Jahr

Swali je chura kiziwi atasikia

Profilbild von Andrew Julius
Andrew Juliusvor 1 Jahr

Wana yasikia lakini hawa elewi

Profilbild von Mwana-Ngorongoro
Mwana-Ngorongorovor 1 Jahr

Hivi hawa maaskofu wengine walionyamaza kimya leo, wanamtumikia Mungu au ni wachumia tumbo walioamua kujipatanisha na watesi wa taifa hili ili kutetea matumbo yao. Baba Askofu huyu kazungumza kile watawala wasichotaka kisemwe

Ähnliche Videos