Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

.😂😂. “ata akikuchokoza mwambie pole”

135,277 views • 2 years ago •via X (Twitter)

11 Comments

mkuda mkuu's profile picture
mkuda mkuu2 years ago

@toksik81 Kuna watu wanajikutaaa yaaan naandika nafuta imbacho angekipata huyo jamaa asingeamin

O.m.B.o.i's profile picture
O.m.B.o.i2 years ago

.ungefanyaje..?

Estadio Deportes's profile picture
Estadio Deportes1 year ago

#ExtraCancha HUBO REUNIÓN 🙌 La noche de ayer, el presidente Trump anunció que tendría una reunión con Canadá y México la mañana de hoy. ¿Qué se sabe? Te lo contamos. 👇 #Trump #Sheinbaum #Aranceles

MD's profile picture
MD2 years ago

@toksik81 Ndo ujifunze maana ya kuweka distance. Hapo jamaa amepaki we unaomba kushoto na kutambaa. Najua angemfukuza lakini unaenda kupaki polisi au sehemu yoyote yenye trafik mnaanza upya. Huyo alikuwa dreva anamfata boss asingekuwa na muda wa kutosha

The Chelsea Addict's profile picture
The Chelsea Addict2 years ago

@toksik81 Hyu jamaa alete video nyingine kujua kilichoendelea baada ya kutolewa simu mfkoni 😄

O.m.B.o.i's profile picture
O.m.B.o.i2 years ago

.haipo.😂.

Daktari Wa Manesi 💉💊's profile picture
Daktari Wa Manesi 💉💊2 years ago

@toksik81 Anko wake ni mbunge 😀

O.m.B.o.i's profile picture
O.m.B.o.i2 years ago

.😂😂.

Sunday's profile picture
Sunday2 years ago

@toksik81 Ila jamaa mwenye IST anaonekana kabisa kaonewa! Kiukweli nilijisikia vibaya sanaa kuiona hii video!

Dr Mmbaga's profile picture
Dr Mmbaga2 years ago

@toksik81 Hapo alipoambiwa aingize gari sasa😂😂😂🙌🏽

O.m.B.o.i's profile picture
O.m.B.o.i2 years ago

.😂😂😂😂.afu kimya kimya.

Related Videos

Ata albino sekunde ni zile zile 😂😂
0:22

Sensitive content

Ata albino sekunde ni zile zile 😂😂

KASEE🇰🇪

435,479 views • 17 days ago