Wema sio mwema ata kidogo๐๐๐๐
@AmRosalinee10K followers
94,745 views
34 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@cag_wa_mtaa
Kuna namna haipo sawa kwa Wema ingekuwa amezaa mara tano nisingepinga ila Wife alinitesa sana kwa mtoto wa kwanza ila Wema inabidi Tume iundwe mara moja ikiongozwa na Chande kufatilia ile Mimba Kiundani zaidi
13 likes

@erephatogx4
Mnachorakiwa kujua mama yake zuchu ni mtu wa bendi ya muziki wa ccm hizi kiki waliona kiki ya wema kuna makosa wakajifunza ili mtu anekane kazaa au ana mimba ni awe na dalili za mimba sasa zuchu kala sanaa ubwabwa chapati marage ili akinenepa aje na kiki naomba tuache kufatili
7 likes

@Baradhuli2
Hakuna chaajabu bhn hapo.
6 likes

@ArsenalBoy8
Mke wangu alipasuliwa lakini alikuwa fit sana. Kama hamuamini basi tupate katiba mpya
4 likes

@Excess300
Ukute kuzaa hata hakuumi mnatuingiza mjini tu. Wanawake matapeli sana
3 likes

@Uherry14
Badi sepenga shujaa mimba ya uzeeni lakini bado alikuwa anaweza piga push up
3 likes

@Mika_Obadia
Kiukweli siku 1 niko hospital ya Kimara Baruti hapo kule wodi ya wazazi kuna mama alikua anafanya mazoezi aingie leba aisee kama anavuta kontena hapa zuchu naweza kumuelewa ila uyo wema atuambie ukweli kwa utembeaji huo sio mimba hiyo
3 likes

@Nahyastore
Wema kazaa kawaida bhana
1 like

@CarlosGGMU
Mwingine anashimo kubwa sana la mkundu
1 like

@_Cheppelle
๐๐
1 like

@Karemastore
Wema tlipigwa๐ค๐
1 like

@Lastborn_EL
Nikimwangalia babe olie๐๐
1 like

@AmRosalinee
๐๐

@tommytraveler21
Hii video asiione @Thewilliams2022 ๐
1 like

@heis_kanny
๐๐
1 like

@mTusiOriginal
Mtu asitambe sio
1 like

@BakizaHamiss
๐๐๐๐๐๐๐๐ nitakuwa wamwisho kumuamini yule dada mkuu
1 like

@Budda2016
Wema Kumanyoko ๐ ๐ ๐ ๐
1 like

@Mastown_
Sahihi๐๐

@boazmingo_7
๐












