Ati analia ๐๐๐โโ๏ธ
@Rydx_01799K followers
69,073 views
33 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Alikamwe
52 likes

@Rydx_017
Angle nyingine na makelele ya wapambe
49 likes

@Rydx_017
Muangalie huyu
68 likes

@Rydx_017
Yasmin, Mke wa Alikamwe huyo. Ila watu wa Yanga utoto mwingi aiseee!! Ni aibu ukumbini ๐๐๐๐โโ๏ธ Video kwa Comments ๐
673 likes

@FrankFedric
@igy_bm23 light skin namna gani pale? Mwanaume mwezio anaoa wewe unalia nini๐๐๐
4 likes

@angelish17
Yaani mtu kulia katika sherehe ya best friend wake inaonekana kitu cha ajabu hivii Hadi little things tunashindwa kuvitafsiri eti mnafananisha na ushoga seriously? Huyu mkaka naye si ameoa juzi juzi tu Kweli kwa akili hizi acheni sisiem watuongoze milele ##oktobatunatiki
2 likes

@Mafuvu62
Alitaka aolewe yeye?
1 like

@whiz93
Namna gan hapa,mfumo haujadukiliwa kweli?
1 like

@itango_emmanuel
Usikute huyo mwanamke ni Ex wake๐๐๐๐
1 like

@DerickLungwa
Au hapa ni pepsi haina gas๐

@ANOBAY_
Ex wake Ali Kamwe analia๐

@Calvnminja
camara kapesa

@gasper_pius3
Dooh namn gani tena hapa ๐ ๐ ๐

@Chebukati37
@privaldinho Alivyoambiwa kijana analia akashtuka heee ๐๐๐ Huyu kijana anafikirisha watu ๐

@khalfani_yusuph
anaenda kusaidiwa majukumu

@mmeruwaArusha
๐ ๐ ๐

@KamalBinMalik
Kwamba ana wivu na shemeji yake au ๐คฃ

@Azizjumajuma
Ameachwa kwenye mataa๐๐

@her_son255
Diarra anaumwa ACL

@DuZFuN05
mmoja wao atakua ni UBWABWA wa mwenzie, sio bure!!












