Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ati huu jana 😂😂😂
23,953 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Ila HARMONIZE 😂😂😂😂 Baada ya kuona wimbo wa YANGA, umetreand kuliko alivyotegemea Akaona hii mbaya hii😂😂😂😂😂 Ngoja niitolee Remix ya wimbo wangu😂😂😂 Hili hapa... Ujana.. Sikia kipande chake.. Video kwa Comments👇🏾

#wadhamini Tunaunga vifurushi vya Vodacom postpaid Hii unaingizwa kwenye mfumo ambapo utapata bundle kila mwezi na utalilipia mwisho wa mwezi huo Ukiwa na nida namba , majina matatu , Email pamoja na tin namba Kwa gharama ya elfu 10 tu! kuunganishwa Nipigie ☎️ 0764 355 186

Ila Harmonize bhana, Moshi huo huoooo,😂😂

jamaa kichwaa sanaaa

Yeye akatoa Remix Kabla kutoa nyimbo 😆😆😆

Kazi mbovu sana🤣🤣

Taka taka🚮

Ndio maana ya usanii

Kumalamamake kwenye mikeka kaniua kabisa maana kama ni ligi ndo zimeanzaaaaa

Mbovuuuuuuu

Hapo kwenye mikeka
