Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Ukweli mchungu sana huu😂😂😂😂
50,578 просмотров • 3 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 71

Hapo ukimuuliza hata yeye hajui anasema nini🚮🚮🚮

Wananena kwa lugha 😂

Sasa si ndio uchizi wenyewe🤣🤣🤣 Yaani mtu anaongea kitu hata yeye hakijui

Kasheshe 😂

na huwa hatuupendi 🤣🤣

Hakutaki kusikia kabisa😂

Maamae 😂😂

😂

😂😂😂😂😂 @ZenjiboyZnz , umemtuma Huyu?

@ZenjiboyZnz 😂😂😂😂🙌🏾

Baadae tunakua na taifa la kukemea mapepo kila cku 😁, mm naona hawa watu wasichekewe juzi nimeona Mtu ametoka kigoma kwa njenje Hadi dar anaenda kwenye mkesha, nikajiuliza nguvu hiyo angeitumia kuandaa shamba la mahindi baadae auze apate pesa ila Mtu mwenyewe masikini kabisaa

Ukweli mchungu mno aisee

Tusomeshe watoto jamani 😂😂😂😂😂

Kwa kweli hali ni mbaya😂

😂😂

😂

😁😁

Nomaaa😂😂😂

Kila mtu anahaki ya kuchagua sehem sahihi ya kuwekeza🤔

Upo sahihi kaka😄

We jamaa utapigiwa injili 😀😀

😂😂😂

😂😂😂🙌🏿

Nomaaa😂😂

😂😂😂😂

😂😂😂😂

Du

Nomaaa

We mzee 😀

Mkuu 😂

Mbn anatumia nguvu sana 🤣

Anatoa mapepo😂

Unazingua mwanangu 😂

😂😂😂😂

🤣🤣

😂

Jitathimini

Sawa kaka 😄

😂😂

😂😂😂

Dahh aisee

Nomaa Mno

Unatuaminisha huko hawana wanachokiabudu?😁

Endelea kushinda Kanisani😄

We shinda kwa waganga mtchieew 😂😂

Hiyo ni China sio ulaya

Kwani Ulaya hawana teknolojia ?

😃😃

😂

😅😅😅😅🙌

Nomaa😂

Kazi ipo😅😅🙌

Kaka hao ni wachina

Pia Ulaya si wanatengeneza lakini 😄

Ndio kaka

Basi ni huko huko

Utolewe mapepo 🤣🤣

Sijui utapata pesa kupitia maombi😂

😃😃😃👀

Nomaaa 😄

😂😂😂😂

Follow Back Mzee😂😂

Hiyo ni ulaya ya pale uchinani.. injili inapigwa pia pale uchinani btw

Follow Back

😂😂😂

@xviddl

Oyaa kuwa na heshima 😂😂

😃😃

😂😂😂…

Haya bana

Kmmk😂

