正在加载视频...
视频加载失败
Azam wakatili mno 😀
63,934 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Jacknho2 年前
Azam washenzi sanaa aisee..kumbe walikata bhna daah😎

Pisikali bongo2 年前
habari zenu 🥰

Hustler👣2 年前
Hili tamthilia ni moto wa kuotea mbali

Jonner2 年前
Dah kweli kumbe hiki kipande kilikuwa kirefu hiv😂🙌

Hassan2 年前
Azam wanatunyima vitu vingi sanaaaaaaaa duuuh

Yanky🥷🤑2 年前
Mm ndo Huyo ferit😂

Abdillah Ibrahim2 年前
Nawapongeza @azamtvtz kwani kwenye maadili wanajitahidi sana, vipindi vyao vya Azam two vinaangaliwa na familia nzima,ni fedheha mama,wakwe na watoto kutazama deep kisses kama hivi

atenali naftali2 年前
Golden Boy msumbufu sana

FikraYenyeNuru2 年前
Golden boy katika harakati za kutimiza ndoto

MTU MAKINI2 年前
Nisaidie REPOST 🔁 iwafikie wengi 🙏🏾 _________________ Tshs. 13,000/= [ Ukichukua nguo kuanzia (3) nakupunguzia ] [ WhatsApp ] 📍D'salaam (Bunju B ) MIKOANI TUNATUMA✅ #Nipedili #Sokoletu #Biasharatz🇹🇿
